Reginald Mengi to British investors - "I'm not part of Silverdale Farm agreement"

Mzee Mwanakijiji, there is more to this than what meet the eye.Hawa brothers ni blood brothers as well as bussiness partners.
Kwenye hii case ya Silverdale Farm, kinachofanyika ni kumdhulumu tuu huyu mzungu wa watu, naomba nikupe my side of the story kwa kifupi sana.

Benjamin Mengi na his late wife (RIP) ndio wamiliki halali wa shamba husika, ukatokeo urafiki, just friendship kati yao na hao wazungu, wakaanza kutembeleana mara London mara Tanzania, hatimaye Mzungu akaingia line, friendship ika turn into partneship, wakaingia bussiness venture, Mzungu akawekeza fedha nyingi. Baada ya uwekezaji kukamilika, Benjamin akamzunguka pertner wake, akala deal mzungu apigwe PI ili mali ibaki kwake, mzungu akafight back, ndipo sasa vikafuatia visa na mikasa.

Siku zote za mgogoro huu, R.Mengi anadai hajuai chochote kwa vile yeye sio Benjamin, hii ni kweli kabisa kisheria na kwenye paper work, lakini comon sense na simple logic haikubali. Hawa ni blood relatives na blood bussiness partners na kwa maoni yangu binafsi kama pasco wa jf, the deal maker ni R na sio B, ilo B anatumika tuu front il R aonekani hahusiki.

Kuna bussiness connection nyingi kati ya kaka hawa, kile kiwanda cha madawa cha Moshi kinamilikiwa na hawa ndugu, ni R. ndio aliechukua mkopo wa mamilioni NBC kununua mashine za kiwanda hiki toka ulaya, akaenda kizikagua mashine hizo kiwandani akazikubali, zikaletwa, zikafungwa kazi ya uzalishaji ikakwama, ndipo jamaa wakadai mashine walizoziagiza soi zilizoletwa!. Wakaandika barua kiwandani, njooni mchukue mashine zenu, na kutuletea mashine zetu, kesi sijui iliisha vipi. NBC walipotaka pesa zao, R kagoma kulipa deni kwa vile mashine sizo!. Kule kiwandani, wenye mashine zao wameshalipwa pesa zao, na NBC wameshakatwa malipo hayo!.

Ile kampuni ya uwekezaji ya NICOL ilipokuwa inaishu IPO ilionyesha miongoni mwa assets zake ni kiwanda hicho cha madawa na lile shamba la Silverdale!. Yaani jamaa wamekusanya michango ya mabilioni ya Watanzania, eti fedha hizo zikawekezwa kwenye kununuliia kiwanda cha madawa na kulinunua hilo shamba, hivyo shamba limeshauzwa siku nyingi huku kesi inaendelea!.

Baada ya kuwaingiza mkenge waliotoa fedha zao NICOL, deal ikakamilishwa kuwaingiza mkenge wawekezaji wakubwa, kwa kutayarishwa prospectus ikionyesha NICOL ni kampuni yenye mtaji mkubwa na inatengeneza faida kubwa 'paper work', hivyo inastahili kuingia rasmi kwenye siko la hisa la Dar es Salaam, DSE, ili wawekezaji wajitokeze kuwekeza kimataifa.

Kabla hawakubaliwa, jamaa wa CMSA (Capita Markets and Security Authorty) wakafanya Due Diligency ya NICOL, ndipo wakagundua mauza uza matupu, wakakataliwa kuwa listed. Sasa NICOL huisikii tena japo wahusika wakuu sasa wameelekeza majeshi yao kwenye fedha za Kilimo Kwanza.

Wakili anayewatetea wazungu hawa, kampuni ya Uwakili ya kina Apollo Maruma, alikutwa amekufa pembeni mwa barabara katika mazingira ya kutatanisha, siku chache kabla kesi hiyo hajatajwa mahakamani, kifo hicho kilikuwa staged kama ordinary car accident, jamaa kalewa usiku wa manane, akalitumbukiza gari lake mtoroni, hakupata msaada wowote, asubuhi ndio watu wanashangaa kakuta amekufa!.

Situatio ilivyo sasa.
Baada ya kifo cha Mke wa Benjamin Mengi, paper work yote imeshaandaliwa kuonyesha mmiliki halisi wa mashamba hayo ni huyo mama marehemu. Marehemu ameacha wosia ambao hakuna ajuaye umeandika nini. Mark my word, next time kesi itakapotatwa, wasio utafunguliwa mahakamani, utaonyesha mali zote ni za marehemu, na marehemu kwa ridhaa yake mwenyewe, ataonyesha ameamua kuzithisha mali fulani, na mikataba yote Benjamin aliyoingia, aliingia kwa niaba ya mkewe, maadamu ameshafariki, mikataba ile ndio imefikia mwisho wake na mzingu ataishia kubaki hana kitu.

Cha mwisho Mzee Mwanakijiji, mimi binafsi ni muumini wa " lawof the Karma" kwamba kila jema unalofanya hapa duniani, utalipwa kwa wema hapa hapa duniani, au wewe, au uzao wako, na kila baya au ovu unalolifanya, malipo ni hapa hapa duniani, na mimi binafsi ni shuhuda wa hili, hivyo time will tell.


analysis yako inaweza kuwa exposed kirahisi sana kua ni dhaifu, kwanza benjamin mengi kama mmiliki halali alikua na haja gani ya kutaka kumtapeli huyo mzungu wakat kama real nia ni pesa ya kuendeleza shamba basi angechukua mshiko kwa bro wake? pili, wazungu si wajinga kiasi hicho kutoa pesa zao bila makubaliano ambayo ni legally binded na ndio maana huyo mama hataki kwenda mahakamni anatumia kampeni za kuchafuana maana mahakamni haki ndio inapatikana nina uhakika hata akifunguya kesi mahakama za kimataifa atashindwa tu?

tatu, anasababuy gani ya kumshirikisha kaka wa mtuhumiwa badala ya ku deal na anayegombana nae, na kama aliitwa kwenye mkutano na balozi wao na akaktaa tokea sasa huyo mtu si mpuuzi tu?
 
Back
Top Bottom