Reginald Mengi na Tanzania Energy Ltd vs Swala Energy Tanzania ltd

Changamoto2015

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
773
313
Hii kampuni imeanzishwa November 2013. Kwa sasa inamiliki shares kwa asilimia 3.3% Swala energy, hii ni kampuni ya kutoka Australia. Kampuni hii ya bwana Reginald Mengi inakuwa miongoni mwa top 20 investors ikishika nafasi ya tatu.
Sasa uki connect dots utagundua kwanini kelele zinazidi juu ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye sekta ya gesi.
 
Hii kampuni imeanzishwa November 2013. Kwa sasa inamiliki shares kwa asilimia 3.3% Swala energy, hii ni kampuni ya kutoka Australia. Kampuni hii inakuwa miongoni mwa top 20 investors ikishika nafasi ya tatu.
Sasa uki connect dots utagundua kwanini kelele zinazidi juu ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye sekta ya gesi.

Mkuu INVESTA.TZ
Pamoja na uzoefu wangu katika maswala ya fedha na uchumi sijakuelewa kabisa unachotaka kusema. Tafadhali nisaidie kuelewa ujumbe unaotaka uwafikie wana JF
 
Mkuu INVESTA.TZ
Pamoja na uzoefu wangu katika maswala ya fedha na uchumi sijakuelewa kabisa unachotaka kusema. Tafadhali nisaidie kuelewa ujumbe unaotaka uwafikie wana JF

ninafikiri labda alichojaribu kukisema ni kuwa mengi amefungua kampuni ili akipata kitalu ashirikiane na kampuni za nje ili apate cha juu i maybe wrong.

maoni yangu ni kwamba watu wengi hawajui kwamba makampuni mengi ya oil and gas huwa yanashirikiana kwa jili ya kukata cost na kuna kitu kitaalamu wanaita allocation factor kwahiyo unakuta ndani ya kisima kimoja for example exxon mobil ina 60% na 30% ni ya total kwahiyo mashirikiano ni kitu cha kawaida ili kupunguza cost na pia ku lower risk.
 
Back
Top Bottom