Regina mwalekwa akiri rostam akufanya kitu igunga!!kuna umuhimu wa kuchagua ccm??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Sikiliza clouds fm
regina mwalekwa anaelezea mazingira ya igunga na kusema kwa kweli igunga ni aibu tupu
njia zenyewe aibu jamani ukifika ni ngumu kujiuliza kama ilikuwa na mbunge
hata hivyo mh regina amesema anaimani mbunge mtarajiwa wa chadema anaweza kufanya kitu
na anasikitika anaitaji sapoti muhimu toka kila sehemu ili kuweza kuweka igunga kwenye
hali inayotakiwa
mwisho nawatakia kila la kheri wana mapinduzi wote wanaotarajia kuirekebisha igunga
 
Mpwa naona uko karibu sana na redio mawingu eeh, haya jioni njema
 
Yule alikua mbunge wa darisalama,kama igunga wenyewe hawamjui si maajabu hayo.chadema ndio mkombozi pekee wa hili taifa tofauti na hilo tumeangamia.igunga nawaamini wawezi kutuangusha.
 
Regina ndiyo kaongea hayo!! Leo nilisikiliza hotuba ya Zitto katika you tube Zitto afunika Igunga nilijua kuwa Igunga ipo kazi, tuombe Mungu amani itawale siku ya uchaguzi ili mshindi apatikane kwa halali.
 
Back
Top Bottom