Regina luhanga we miss u much

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Kama Mungu angeniuliza unaitaji nani nimrudishe dunia mtu wa kwanza ningemtaja huyu dada Regina Luhanga alikufa kwa ajali ya gari kule Korogwe wakampelekea ndege kumleta Dar.
Mungu akampenda zaidi pale Muhimbili,alikuwa friend,lovely sijui nisemeje
dada aliekuwa mcheshi aringi tofauti na marafiki zake waliokuwa nyuma yake
Regina tutakukumbuka daima,.

Familia yangu na marafiki zangu wanakumbuka
ucheshi wako......sitosahau utani ulikokuwa nao ukituchekesha kila ukija nyumbani
Mungu akulinde uko ulipo.

We miss U much """"""""""""""BEST"""""""""""""""""""""""""""""
 
regina_luhang,luv+u+(gina).jpg

MISIN U MUCH ""BEST""""
 
Ya walikuwa wawili wale madada mungu awapumzishe salama nakumbuka alikuwa lawey,,jina sikumbuki vizuri.

was very sad dat day nilikuwa wrusha kikazi tukala nae lunch na marafiki zake akaniambia nimekata tkt ya ndege ya atc.

nkamwambia sawa ila m nina precission akanitania nirudishe nini nije na precis kakangu nkamwambia koma wa atc abaki atc

abh anapiga nimebadili nakuja na drive na best wangu nimefika dar gafla nasikia reg kapata ajali...dada mungu akurehemu na mwenzako mlikufa nae..so far mwenzio alikufa pale pale....alikuwa anaendesha....

Rip lawyer(my mates foordhani?)
 
esther na regina ni wasichana waliokua wazuri, warembo, intelligent, i remember their smiles! ...na kwa bahati mbaya sana nao pia ni wahanga wa barabara zetu hatarishi... RIP girls
 
Aliyepata ajali na Regina Luhanga RIP,ni Esther Maruma RIP.
,
Poleni familia za Luhanga na Maruma.
Surname zao zote mbili ni from powerful families za Machifu, Luhanga ni Machifu wa moja ya makabila ya Iringa na Maruma ni Chifu Uchagani, wakati Machifu wengine Moshi wakijiita Mangi, Maruma alibakia kuitwa Chief Maruma tuu na sio Mangi.
 
esther na regina ni wasichana waliokua wazuri, warembo, intelligent, i remember their smiles! ...na kwa bahati mbaya sana nao pia ni wahanga wa barabara zetu hatarishi... RIP girls

HAKUNA MAISHA MAZURI DUNIAN KAMA WEWE

1.NI MZURI
2.UNA HELA ZAKO
3.HURINGI
4.WOTE KWAKO NI SAWA
5...UNA KAZI YAKO YA MAAANA NA UNATHAMINI WATU

SIO LEO VIBINTI VINAPATA KAZI OVYO KWENYE VI BANK HATA BABA ZAO WANAACHA KUJIBU SMS KWA DHARAU
Mungu awape rehema zake reg&esther
 
What a coincidence! Reginas b'day was on 21st April, she is one of the people I will never forget in my entire life, sad I was'nt there to see her final journey, You will always be in my heart Gina aka "Besti" Aliniuma sana RIP
 
Kifo ndio image inayoonyesha miisho yetu pdidy. Inaumiza tu kwamba kinachukua wazuri na kuwaacha hawa wezi wa nchi yetu. Natamani kingewalamba hawa wezi, mafisadi, waongo wa maendeleo kwa watu na watu wasio na huruma na binadamu wenzao.
Sasa basi kila tutembeapo hebu utayari wetu wa kukabiliana na kifo pia uwe karibu. Tujiulize siku zote na hasa kila asubuhi ukiamka jiulize je uko tayari kukabiliana na kifo?
 
Duh, ni te2010, ten years a go......RIP, nina dediacate hii ngoma....kuna line hapo inasema "you found another home...I know you are not alone"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom