FDR.Jr
JF-Expert Member
- Jun 17, 2008
- 1,359
- 353
taarifa nilizo nazo ccm na tume wanamtangaza abdul mteketa kuwa ndie mshindi wa jimbo hilo licha kuwa takwimu zilizopo ambazo ccm kwa nguvu ya dola wamezichakachua regia alimshinda mteketa kwa kura 1250.
tuwoni ndembu tunyuminyumi" ifakara, mngeta,mlimba, malinyi,itete na kivukoni twijange.
- kinachonisikitisha ni kitendo cha kumpora ushindi na sasa pale bomani ifakara wamevumisha taarifa kuwa amehongwa shilingi millioni 200 ili akubali kushindwa.
- ifakara niijuayo mimi haina uwekezaji wa kiasi hicho toka kwa mtu binafsi au chama, iweje leo regia anunuliwe kwa fedha kiasi hicho.
- sina ukaribu na regia lakini ninawafahamu wazazi wake na pia yule marehemu katibu mkuu wetu ssc si watu wa kununuliwa na kudharirika kiasi hicho
- kama ccm wana fedha ya kuununua ubunge kwa mtu mmoja kwa mapesa hayo kwanini mpaka leo tuko nyuma kiasi hiki?!!!
tuwoni ndembu tunyuminyumi" ifakara, mngeta,mlimba, malinyi,itete na kivukoni twijange.