Elections 2010 Regia mtemanyenja ananyimwa ubunge rasmi saa nne hii asubuhii mjini ifakara.

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
taarifa nilizo nazo ccm na tume wanamtangaza abdul mteketa kuwa ndie mshindi wa jimbo hilo licha kuwa takwimu zilizopo ambazo ccm kwa nguvu ya dola wamezichakachua regia alimshinda mteketa kwa kura 1250.

  • kinachonisikitisha ni kitendo cha kumpora ushindi na sasa pale bomani ifakara wamevumisha taarifa kuwa amehongwa shilingi millioni 200 ili akubali kushindwa.
  • ifakara niijuayo mimi haina uwekezaji wa kiasi hicho toka kwa mtu binafsi au chama, iweje leo regia anunuliwe kwa fedha kiasi hicho.
  • sina ukaribu na regia lakini ninawafahamu wazazi wake na pia yule marehemu katibu mkuu wetu ssc si watu wa kununuliwa na kudharirika kiasi hicho
  • kama ccm wana fedha ya kuununua ubunge kwa mtu mmoja kwa mapesa hayo kwanini mpaka leo tuko nyuma kiasi hiki?!!!
all in dada regia, simama imara, mtegemee mungu na zaidi nasisitiza "twijange ,twijangee? Twijange nakaka x2
tuwoni ndembu tunyuminyumi" ifakara, mngeta,mlimba, malinyi,itete na kivukoni twijange.
 
dada regia pole sana nakuombea hiyo mizee ya chadema ikupatie ubunge viti maalumu maana wewe ni mpiganaji na umetuwakilisha vyema wanawake
 
Uvumi wa mm kupewa mkwanja unavuma sana hapa town na mkurugenzi kuambiwa akimtangaza mama akatafute kazi anapojua imavuma sana hapa mjini ifakara na inasemekana kinacho wafanya ccm wang'ang'anie jimbo mali asili zilizopo ambazo wanazivuna na kujaza kwenye matumbo yao bila wananch kufaidi matunda hayo.
 
Regina lugha ya kuita mizee ya chadema inaonesha wewe ni kilaza.Chadema ni ya vijana wa ukombozi wa taifa hili,mizee na mifisadi iko ccm
 
Jamani kwa nini mnafanya huu uonevu.nyie si ndio mnajifanya mnateta haki za walemavu?mwachieni huyo dada jimbo lake kalipigania vya kutosha.Kama wakimchakachulia basi naamini kabisa ile nafasi ya Mdee viti maalum itamfaa huyu dada na 2015 watauona moto wake.
 
i cant blieve this...jamani ccm,how much are you prepared to pay for the tears of the innocent in this country?
 
dada regia pole sana nakuombea hiyo mizee ya chadema ikupatie ubunge viti maalumu maana wewe ni mpiganaji na umetuwakilisha vyema wanawake
Umeliwa mpaka unajiachia mzimamzima,ukombozi waja huutaki!.......poleee eee! utaachia sana safari safari hiii!
 
Regina lugha ya kuita mizee ya chadema inaonesha wewe ni kilaza.Chadema ni ya vijana wa ukombozi wa taifa hili,mizee na mifisadi iko ccm

kaka mimi ni jenifa

huku kwetu watu kama mbowe slaa tunaita mizee. kwani chadema wanatoaje viti maalumu nimeambiwa mpaka uwe .....

ila dada regia watampa kihalali mimi nampenda na kumfagilia dada yetu. amejitahidi sana ningelikuwa kwao ningempa kura yangu

mdada regia hongera sana usikate tamaa
 
taarifa hizi zilianza kusambaa tangu jana jioni kuwa dada Regia amevuta mkwanja, ila hizi ni mbinu chafu za CCM ambazo zitafanya dada yetu achukiwe na wapiga kura wake. Ila pia tunamuomba dada Regia asiwe mbali katika kutupatia nini kinaendelea huko ifakara
 
it hurts me reading this humiliations!.....

ukweli ni kwamba wiki ya uchaguzi imekuwa mbaya sana kwangu....!
 
it hurts me reading this humiliations!.....

ukweli ni kwamba wiki ya uchaguzi imekuwa mbaya sana kwangu....!

kaka pole
usiumie sana ni uchaguzi tu. tuanze maandalizi ya 2015

acha kuumia sana utapata ugonjwa bure
 
waliozusha maneno hayo ni watumishi wasomi na wenye mamlaka pale bomani kwa msaada wa ccm, lengo ni kum destroy regia ktk public na chama chake, milioni mia mbili kwa ifakara-malinyi-mlimba niliyokulia hakuna mtu wa kumnunua kwa kiasi hiki, nikuelezeni tu, kuna hotel moja tu iitwayo mbega ambayo inaweza kufikia thamani ya milioni 100-150 sasa najiuliza nani na kwa lipi hasa??? Hao ni wajinga, regia historically amejitenga na dhuluma, kila mwanadamu ni dhaifu ila nathubutu kula kiapo kuwa ktk hili regia yuko smart maana wana kilombero na watz wanamtambua kwa uaminifu huo. Kwa ulemavu wake angeweza kujipendekeza na kupata ajira ya manufaa binafsi baadala yake alienda chadema chini ya kurugenzi ya mnyika.

mhaja wangu, tulijange, tulijange? Tulijange nakaka, tuwoni ndembo tunyuminyumi.

wewe ni mshindi kabla na baada, ushindi wako mbele ya mungu ni dhahiri, mbele umma ni dhahiri kama tume hawataki, muache mungu aitwe mungu.

inshallah.
 
mimi nashangaa kuna wanaume wengine wanapenda kujiita majina ya kike sijuhi ni kwa nini, au labda ndio mambo ya hormone imbalance hayo, si ajabu ukimwangalia utamkuta na hereni na nywele zimesukwa
 
mi siasa baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaas!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom