Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu?

Kuuliza sio ujinga hata kama wengine wanaona ni ujinga. Maana hakuna anazaliwa anajua kila kitu wote tunajifunza. Na ukiona mtu kauliza swali sio umkandie jua kuwa hajui kama wewe uliyebarikiwa kujua so kwa busara msaidie ukiona inafaa na ukiona amekuudhi kuuliza kitu ambacho wewe umeshakijua tayari potezea haina haja ya kumtukana maana naona wengine humu ni kutukana tu kwa kujiona wao wana uchungu zaidi ya wengine so hawapaswi kuulizwa? sio fair maana kama kufa sote tu njiani.

Tujiulize je tukifa leo kunakwenda wapi kuzimu au peponi. maana njia nyembamba waendao ni wachache na njia pana waendao ni wengi. je wewe utakuwa wapi yesu akirudi.
 
Wabunge wote hupokea Tsh 400,000 kama mshahara wa madereva lkn inaonekana asilimia kubwa ya wabunge wanajiendesha wenyewe, inasikitisha maana kama wabunge walitakiwa ku create ajira kwa kuajiri madereva lakini wanatia ndani posho, vilevile kutokata na majukumu mengi na uchovu itasaidikia kuwapunguziab ajali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom