Regia adai kiwango cha elimu kimeshuka; PhD bungeni sawa na BA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Regia adai kiwango cha elimu kimeshuka; PhD bungeni sawa na BA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nickname, Feb 14, 2011.

 1. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania.

  Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'.

  Nawasilisha..
   
 2. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  hajandanganya ni mtazamo wake tu kama haoni tofauti kuna wengine wanaona tofauti. Ni kama CCM wanavyoona kuwa ujenzi wa shule za kata umeboresha Elimu wakati wangine wanafikiri unadidimiza elimu.
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  sasa unabisha?
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  unataka kusema nini?:eek:hwell:
   
 5. W

  We can JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nani alimwuliza kuwa ipi tofauti kati ya Bachellor na PhD? Kama kuna mbunge alimwuliza hivyo, basi, yuko sahihi kujibu hivyo kwani ukiulizwa utumbo, jibu utumbo and vise versa.

  Bila kutuambia the whole story, hatuelewi, wengine hatuna TV bwana hapa tulipo!
   
 6. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hapo uongo ni nini? Huwaoni huko bungeni maprofesa wanavyotia aibu?
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  wewe ndiyo unaidanganya JF ...Mh. Regia Mtema amesema sasa hivi kiwango cha elimu kimeshuka na imekuwa kama vile aliyekua na elimu ya PHD akawa sawa na elimu digree kwa ubora wa elimu
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kwani JK ana elimu ya kiwango cha PHD .....?. hili ni kombora kwa JK
   
 9. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ina maana hata wewe una phD? basi ndio maana thinking capacity yako inashindwa kupambanua maana ya kudanganya na ukweli.

  Regia yuko right kwani hujaona mtu mwenye first degree au diploma wakiweza kuchambua mambo kuliko maprofesa ? Na wewe hutakiwi kuambiwa tumia tu akili ya kawaida kuona hili

  Regia big up!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Labda nikufahamishe kuwa aliongea hilo kwa muktadha wa perfomance na thinking capacity NDANI YA BUNGE...Unaonaje Bunge linapokuwa na Phd Holders, lakini wanapitisha mambo ya vichekesho katika sessions za Bunge, huku wakikubali kuburuzwa na wanasiasa, na bila kuhoji lolote?
  Think about this!:coffee:
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  thread zingine bana... watu wanakurupuka tu,
   
 12. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Regia mtema amesoma SUA ninamfaham sana. Huo uwezo wa kuongea na kuchambua mambo ametengenezewa na maproffessor wa SUA wamechangia kwa kiasi kikubwa kumfanya awe kama alivyo. Mimi ninafikiri ameteleza kidogo kwa hilo.
   
 13. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  huyu dada namzimia, alikuwa anzungumza kuhusu phd ya kikwete,lwakarware na akina nagu hawa ni bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,700
  Trophy Points: 280
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mjomba umeandika hii heading kwa hisia mno.!
  Umerukia kwenye hitimisho haraka zaidi kuliko hata waliomo ndani ya Bunge!
  Angedanganya Bunge angebanwa na kanuni, hata kupewa adhabu!....
  Nakushauri ufute hiyo heading inayokuonyesha na kukuanika wewe mwenyewehadharani jinsi akili zako zinavyoperform!...hahahaa!
   
 16. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ebu jamani jitahidini kutuwekea taarifa kwa ukamilifu ili tunapochangia tunakuwa tuna taarifa kamili. Hisia ni njema, lakini si vema kuongozwa na hisia ktk kila jambo linahitaji kuamuliwa kwa kutumia hisia.
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli basi atakuwa amewadhalilisha wasomi.
   
 18. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni mtizamo ulio sahihi kwa asilimia nyingi kutokana na alivyoelezea mwenyewe ubora wa elimu yetu umeshuka kwa kiasi kikubwa na thinking capacity pia inaonekana kushuka kwa kiwango kikubwa ukitaka kulitambua hilo angalia madokta na maprof waliomo mjengoni mchango wa mawazo waotoa haulingani na kiasi cha elimu zao japo sio kwa wote lakini tukichukua katika asilimia ni wengi
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,700
  Trophy Points: 280
  Dakta Alhaji Kikwete sio??
   
 20. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  nasikitika kusema regia mtema ni kama kuku pale anaposhindwa kutofautisha phd na degree ya kwanza kwa vigezo vyovyote vile whatsoever
   
Loading...