Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Mh! babu nahofia zangu zitaharibu ndoa za watu ngoja tuendelee nazo hizo hizo ila naitafutia tu jina ya kwetu
Tunasubiri huo ubunifu wako ile angalizo la Acid usilisahau !!
Mh! babu nahofia zangu zitaharibu ndoa za watu ngoja tuendelee nazo hizo hizo ila naitafutia tu jina ya kwetu
Tunasubiri huo ubunifu wako ile angalizo la Acid usilisahau !!
ILE YA KWENU ni part ya mazoezi tu!haina shida endeleeni nayo tu....Mh! babu nahofia zangu zitaharibu ndoa za watu ngoja tuendelee nazo hizo hizo ila naitafutia tu jina ya kwetu
aisee leo nitakuja chembaDogo, you missed the point one is trying to address'
infi ipo kwenye Bible, Quran, na maandiko yote hata ya kimila... it is there and practiced hata na wanyama, and probably wadudu pia... naomba post yangu isiwe kwamba nasema tusiongelee infii
nimetoa mfano wa mtu anakuja kusema lazma apigwe tigo everyday, in actuall facts mtu wa namna hiyo kisayansi atakua amemaliza epithelium na kuanza kula nyama yake which is next to impossible
My point ni kwamba tupeane habari za kusaidiana, kujengana na hata kuwa innovative kwenye infidelity (if neccesary)
Kuna thread alianzisha asprin ya infi was very educative... kuna thread nilianzisha mimi ya kuchezea koki was not na ikapelekwa jukwaa la wakubwa... that is what i mean
DONT KILL THE MESSENGER BUDDY
heshima mbele mkuu... ndio maana nikasema reflection, maana yake tutafakari na nimeupenda sana mwongozo wakoAhsante sana Acid,
Ni kweli kuna vitu vingine vinaongelewa hapa na havina tija. Vitu vingi vya namna hiyo navichukulia kama mzaha...and my life goes on happly!
Binafsi naamini kuwa JF ni uwanja wenye kila aina ya binadamu na hatuwezi kamwe kuishi kama tuko kwenye msiba na pia hatuwezi kuwa kama tuko kwenye party kila siku. Huwa najipa nafasi ya kuamua nini nisome na kuchangia kwa raha zangu ili mradi nisiwakwaze wengine!
Bado sijaona tatizo kuubwa sana hapa MMU ambalo linalohitaji kongamano la kitaifa kulijadili. Na hayo mambo madogo madogo huwa tunaelekezana mumo kwa mumo. Napenda sana kukubali kwamba watu tunatofautiana sana, kiasi kwamba chakula cha mtu fulani inaweza kuwa kwangu ni sumu!
DC
DCTunasubiri huo ubunifu wako ile angalizo la Acid usilisahau !!
Tatizo nililoliona hapa ni jinsi tulivyo wepesi sana wa kuwa derailed simply because we dont read... ukisoma post yangu, ina mifano hai... lakini teamo kaja kawachanganya watu wamehamia kabisaa kwamba thread is about infidelity
Naomba sasa niwe muwazi, nimeongea na teamo kwenye simu na kumuelewesha ila ameamua kuwa kichwa ngumu, i gave him examples za posts au threads ambazo si zenyewe, but the whole forum has shifted to infidelity
lini tutajifunza kutake time kusoma kabla ya kujibu jamani???
JS kasoma na kaelewa vizuri sana, wos, wewe, kimey na wengine wamesoma na kuelewa
Hili jukwaa bila madoido, mizaha, mahaba na urafiki halinogi lakini mada yooote imehamia kwenye infidelity
i think there could be a deliberate action by teamo to derail this one and i am fine with it
Tunasubiri huo ubunifu wako ile angalizo la Acid usilisahau !!
Sijalisahau babu na limeniingia mpaka kumoyo, ila ndio hivyo tena tunapunguza stress humu lolote mtu akiamka nalo analibandika mradi mtima wake upate liwazo ila taratibu taratibu tutakaa sawa
ushaanza kulia!DC
Tatizo nililoliona hapa ni jinsi tulivyo wepesi sana wa kuwa derailed simply because we dont read... ukisoma post yangu, ina mifano hai... lakini teamo kaja kawachanganya watu wamehamia kabisaa kwamba thread is about infidelity
Naomba sasa niwe muwazi, nimeongea na teamo kwenye simu na kumuelewesha ila ameamua kuwa kichwa ngumu, i gave him examples za posts au threads ambazo si zenyewe, but the whole forum has shifted to infidelity
lini tutajifunza kutake time kusoma kabla ya kujibu jamani???
JS kasoma na kaelewa vizuri sana, wos, wewe, kimey na wengine wamesoma na kuelewa
Hili jukwaa bila madoido, mizaha, mahaba na urafiki halinogi lakini mada yooote imehamia kwenye infidelity
i think there could be a deliberate action by teamo to derail this one and i am fine with it
ndo maana mi nasema we dar hapakufai!rudi kijijini kwenu MASWA
QUOTE=Acid;1366310

Kweli Maty...hicho ndiyo kinanifanya mara nyingi nijisike kuumwa nisipopata nafasi ya kuingia JF!
ushaanza kulia!
ndo maana mi nasema we dar hapakufai!rudi kijijini kwenu MASWA
Mhhhhh....Kijana hebu kanyaga break kidogo..twende mdogo mdogo..tutafika tu!
HEHEHE!Mhhhhh....Kijana hebu kanyaga break kidogo..twende mdogo mdogo..tutafika tu!
kakaangu huyo bana......!
yupo na mzinga wa red lebo nyumbani kwake anarusha thread
dogo dont be subjective, that was one exampleOriginally Posted by NOT ENOUGH
Mimi naishi na wazazi wangu hivyo muda wa kumegwa naona kama hautoshi. Huwa napenda kila siku nifanye mapenzi hiyo ndo hobby yangu.
Sifa za mume.
1. Awe na uume mkubwa na mrefu ili nitosheke
2. Awe na uwezo wa kunipiga angalau bao 2 (kama mgonjwa nitavumilia)
3. Asiwe na kipato kikubwa kwani hao wanasumbua, wanakua busy atasababisha nitoke nje ya ndoa.
4. Akubali tuwe tunaishi wenyewe tu kwani huwa nina makelele sana wakati wa kufanya mapenzi.
Mimi nimesoma hivyo naamini nitapata kazi nzuri na tuta enjoy maisha na mume wangu
Karibu
SASA BWANA ACID,
Huyo dada alichokosea ni kuweka hiyo post hapa kwenye MMU?au kuna jingine?
hebu tuliza maruhani wewe!dogo dont be subjective, that was one example
kumbuka ile ya tigo tuliomba ihamishwe mkuu
you are mature enough to understand what i mean but if you argue for argument sake basi endelea coz i cant
dogo dont be subjective, that was one example
kumbuka ile ya tigo tuliomba ihamishwe mkuu
you are mature enough to understand what i mean but if you argue for argument sake basi endelea coz i cant
copy that!acid, nitakuwa sahihi kusema haya?
1. Infidelity kujadiliwa jf si tatizo kubwa la kimaadili kwani kuna washabiki na wengine wanafanya hayo mambo ya uzinzi ambayo ni matatizo makubwa ya kimaadili kuliko kujadili.
2. Mmu ni sehemu muhimu kwa bwaadhi ya watu ambao wanapatumia kutuliza nyoyo zao na akili zao ili mradi wasiwakwaze wenzao
3. Tujitahidi kutumia lugha ya kistaarabu ili tusikwazane.
4. Tusaidiane kuwajulisha mods ili thread zilizopita viwango vya mmu zihamishiwe mahali pake
5. Watu wengi hapa jf tunatamani kupata vitu vingi sana kwa kupanua uelewa wetu ila vitusaidie kutupa furaha, raha na amani.
Dc
AISEE,Hapa kinachotakiwa na wadau ni kuweza kuwa na uwezo wa kupembua kipi kimekaa kimzaha na kipi siriaz....
Binafsi siridhishiw na thredi nyingi zinazokosa muelekeo/staha.....nyingine ziko so immature....
Hivi kuna wadau wanaoshindwa kuchambua pumba na mchele hapa MMU?
Roger that st RRHapa kinachotakiwa na wadau ni kuweza kuwa na uwezo wa kupembua kipi kimekaa kimzaha na kipi siriaz....
Binafsi siridhishiw na thredi nyingi zinazokosa muelekeo/staha.....nyingine ziko so immature....
Hivi kuna wadau wanaoshindwa kuchambua pumba na mchele hapa MMU?
Kama kubadilika itabidi wote mbadilike maana mada za "infidelity" nazo zimevuka mipaka. Unakuta watu wanajivunia mpaka wanapeana na "titles" kabisa!!
Unakuta mtu kajipinda kutoa stori yake ya "infidelity" kwenye baa. Halafu anapongezwa as if ni jambo la heshima na la maana.
Badilikeni nyote na si kunyooshea vidole wengine.