Reference namba ya passport application

atu love

New Member
Apr 15, 2011
2
0
Wadau habarini...nimejisahau sikusave reference number wakati naaplly new passport online na mpaka nishalipia,ivi kuna njia yoyote naweza kuipata maana hata kuprint application sijaprint..nnayo tuu control namba ya malipo..msaada tafadhali
 
Cheki browser history yako kwa makini huenda hiyo reference number itakuwa kwenye URL
 
Back
Top Bottom