Refa wa mechi ya azam na plisi dodoma adundw vibaya,alazwa hospitali!

kama toto lako coastal union?!!
Urafiki wetu na Coastal siyo wa kuachiana game kumbuka tulisha mshusha daraja pili alisha tukatia rufa ili tusichukue ubingwa kwenye issue ya Uhuru Seleman....acheni kubebana na kupiga marefa.....
 
Hapana TFF imekuwa ikiwafungia marefa wengi sana mfano mwaka jana karibu nusu ya marefa waliondolewa kabla ya raound ya pili kuanza hata mwaka huu marefa wengi tu wameondolea sasa kinacho takiwa ni kutoa adhabu kwa timu zinazo husika kuwa honga marefa mfanao kama hawa azam wanaonekana wana honga marefa ilikuwa kazi ya takukuru kufanyia kazi madai ya yanga na timu zinginena nikibainika basi Azamu inashushwa daraja na kesi ya rushwa inaendela mahakamani na alie husika moja kwamoja ana zuiwa kujihusisha kwenye mechezo maisha yake....na kuhakikishia wakibigwa ban viongozi/wachezaji wawili tu unatona tabia hii inakoma....
Ni sawa tff kumzawadia Nkongo?ni kweli allichezesha vizuri mechi ya azam na yanga kwa kiwango cha kpewa zawadi?*:frusty:*
 
Mkuu inasikitisha sana Yanga kumtetea Cannavaro. Nakumbuka mwaka fulani hapo nyuma lilitokea tukio kama la Cannavaro kwa Boban. Ilikuwa Simba Vs Moro Utd. Refa aliipa Moro penati ya bure kabisa, Boban akachukia, alipotaka kumfuata mwamuzi Kaseja akamdaka na kumkumbatia na hakumgusa wala kumkaribia refa kwa mita tatu, lakini TFF ikamfungia Boban miezi sita! Nashangaa the same Cannavaro amefanya, TFF wamemfungia mechi tatu, still Yanga wanakata rufaa eti ilikuwa iwe mechi mbili! Nakumbuka vizuri tukio lile la Boban, maana ile penati Kaseja aliipangua na Simba wakaja kupata bao la Machupa.

Ni kweli mkuu yaani kama ingekuwa ni Boban ndiyo kafanya uhuni uliofanywa na wachezaji wa yanga nakwambia angefungiwa zaidi ya mwaka..

Kuna tukio lingine kipi Juma Nyoso yuko timu ya wauza mitumba juma nyoso alijifanya ameapigwa na Boban napo Boban alikula ban ya kueleweka...
 
Urafiki wetu na Coastal siyo wa kuachiana game kumbuka tulisha mshusha daraja pili alisha tukatia rufa ili tusichukue ubingwa kwenye issue ya Uhuru Seleman....acheni kubebana na kupiga marefa.....
unaushaidi gani toto wanaurfiki na yanga?kwa sabbu mnashindwa kuwafunga sisi tunaweza au kwa sabb rangi za toto na yanga zinafann....marefa was***nge kama hao watadundwa kama maestro alivotaka kudundwa kwenye mkutano wa yanga si unaona walivoshika adabu siku hizi..hawaropoki redioni!:tape:
 
Ni sawa tff kumzawadia Nkongo,ni kweli allichezesha vizuri mechi ya azam na yanga kwa kiwango cha kpewa zawadi?*:frusty:*
Mtani mwaka huu hata nafasi ya tatu ninawasiwasi kama mtaipata maana hali yenu ni mbaya sana....
Hakuana sehemu nimeunga mkono urushwa kwenye mechezo lakini sikungi mkono tabia iliyoanzishwa na Yanga ya kupiga marefa.....
Nimesema kama ushahidi utapatikana kuwa alichukua mrungula basi refa afungiwe hata maisha kujihusisha na michezo pamoja na timu ilito toa hongo ili ipendelewe....
 
wanaoua mpira wa Tanzania ni Young African kwa hulka zaoza kuu politicalize mpira, Ni Yanga iliyo kiongozi aliyefungiwa maisha ktk medani ya soka{Makongoro} ni Yanga iliyoifanya Simba iondolewe na CAF mashindano kwa kuitaarifu ile timu Misri juu ya mchezaji wa Kinyarwanda, Ni Yanga iliyojitokeza kuibeba Stellah, Ni Yanga waliomfukuza kiongoza FAT kisa wamefungwa na Pan 1993 wakasema jamaa ni Mkenya na Lyatonga akamtoa mbio nchini{Alhaj Omary} ni Yanga hii iliyoitetea Fat {Ndolanga}
 
unaushaidi gani toto wanaurfiki na yanga?kwa sabbu mnashindwa kuwafunga sisi tunaweza au kwa sabb rangi za toto na yanga zinafann....marefa was***nge kama hao watadundwa kama maestro alivotaka kudundwa kwenye mkutano wa yanga si unaona walivoshika adabu siku hizi..hawaropoki redioni!:tape:
Tatizo lenu ni Jaziba hebu angalia unataka kurusha ngumi....natamani ingekuwa ndiyo mechi ya tatu leo ili mshuke daraja bahati mbaya ndiyo inaishia ishia.....Vipi mmeshindwa hata kumlipa kocha mshahara?
 
wanaoua mpira wa Tanzania ni Young African kwa hulka zaoza kuu politicalize mpira, Ni Yanga iliyo kiongozi aliyefungiwa maisha ktk medani ya soka{Makongoro} ni Yanga iliyoifanya Simba iondolewe na CAF mashindano kwa kuitaarifu ile timu Misri juu ya mchezaji wa Kinyarwanda, Ni Yanga iliyojitokeza kuibeba Stellah, Ni Yanga waliomfukuza kiongoza FAT kisa wamefungwa na Pan 1993 wakasema jamaa ni Mkenya na Lyatonga akamtoa mbio nchini{Alhaj Omary} ni Yanga hii iliyoitetea Fat {Ndolanga}
Ngoja yahoo aje ata kuhu hug gha.....hahahahahaha...yanga hakuna soka kuna wahuni tu walio kusanywa
 
Wewe lazima utakuwa nazi wa Jangwani wewe....

ndugu kama unabisha jaribu kwenda kwenye mechi yoyote ya ligi, au hata kombe la mbuzi ukaone vituko vya marefa wa bongo. Ukitaka kuharibu siku yako kaangalie mechi za ligi TFF. Wanaofurahia ni kwa unazi tu, soka hakuna.
 
Wee kweli hamnazo yaani wewe unaona kitendo cha kumdunda refa ndiyo cha kiungwana? I see! Na timu ikifungiwa au wachezaji kupewa adhabu mtaleta akina Tibaigana watengue adhabu zilizotolewa na TFF. Lakini sioni ajabu maana yasiyowezekana kwingine kote, bongo yanawezekana.

eti timu zikifungwa azam kahonga basi kama niivyo kaongeni na nyie tuone..
RIP yanga
now toto 3 1 yanga mdundeni refa tena au ndio timu b nini..
 
Inasikitisha sana kuona mtu kampiga lrefa anafungiwa mechi 5, huu ni upumbavu walitakiwa wawafungia mwaka na kuendelea na kama hao Azam FC wanahonga marefa nao wapewe adhabu kali kama kushushwa daraja....hatu wezi kuendesha ligi kihuni huni tu na hii tabia iliyo anzishwa na yanga ikishamili soka bongo kwisha kabisa....

hiyo tabia ilianzishwa na simba bana sababu hadi sasa hivi ndo wamefunguliwa mashitaka.
 
Mkuu inasikitisha sana Yanga kumtetea Cannavaro. Nakumbuka mwaka fulani hapo nyuma lilitokea tukio kama la Cannavaro kwa Boban. Ilikuwa Simba Vs Moro Utd. Refa aliipa Moro penati ya bure kabisa, Boban akachukia, alipotaka kumfuata mwamuzi Kaseja akamdaka na kumkumbatia na hakumgusa wala kumkaribia refa kwa mita tatu, lakini TFF ikamfungia Boban miezi sita! Nashangaa the same Cannavaro amefanya, TFF wamemfungia mechi tatu, still Yanga wanakata rufaa eti ilikuwa iwe mechi mbili! Nakumbuka vizuri tukio lile la Boban, maana ile penati Kaseja aliipangua na Simba wakaja kupata bao la Machupa.
unaikumbuka ya mafisango juzi hapa mechi kati ya simba na oljoro alipomsukuma refa lakini adhabu yake ikawa kuandikiwa onyo kali. cannavaro kupewa red na kukosa mechi 3 huoni ni kali mno?
 
wanaoua mpira wa Tanzania ni Young African kwa hulka zaoza kuu politicalize mpira, Ni Yanga iliyo kiongozi aliyefungiwa maisha ktk medani ya soka{Makongoro} ni Yanga iliyoifanya Simba iondolewe na CAF mashindano kwa kuitaarifu ile timu Misri juu ya mchezaji wa Kinyarwanda, Ni Yanga iliyojitokeza kuibeba Stellah, Ni Yanga waliomfukuza kiongoza FAT kisa wamefungwa na Pan 1993 wakasema jamaa ni Mkenya na Lyatonga akamtoa mbio nchini{Alhaj Omary} ni Yanga hii iliyoitetea Fat {Ndolanga}
wewe unaka*****nyagwa!:A S kiss:
 
Inasikitisha sana kuona mtu kampiga lrefa anafungiwa mechi 5, huu ni upumbavu walitakiwa wawafungia mwaka na kuendelea na kama hao Azam FC wanahonga marefa nao wapewe adhabu kali kama kushushwa daraja....hatu wezi kuendesha ligi kihuni huni tu na hii tabia iliyo anzishwa na yanga ikishamili soka bongo kwisha kabisa....

mna ushahidi kuwa AZAM wanahonga waamuzi??? Pelekeni ushahidi TFF ama PCCB. Sio udhaifu wa marefa wenu wenyewe mnakuja kuwaangushia mzigo AZAM, NOOOO!!!
 
heeeee! kweli pesa mwisho wa matatizo, na wewe umehamia Azam,wamekuhonga sh.ngapi? yaaani umeikana simba hivihiv kwa sababu ya pesa?!*
 
Back
Top Bottom