Refa Mkenya aliyeteuliwa na FIFA kusimamia kombe la dunia 'anaswa' akipokea rushwa

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,692
2,000
REFA.jpg

Takriban maafisa 100 wa kandanda katika eneo la Afrika Magharibi na Kenya walipatikana katika kamera wakipokea fedha katika operesheni kali.

Ni miongoni mwa upelelezi wa miaka miwili uliofanywa na mwandishi wa Ghana mwenye utata Anas Aremeyaw Anas. Kipindi cha BBC Africa Eye kimepata kanda za video za kipekee katika makala yao ya mwisho.

Katika kisa kimoja naibu refa kutoka Kenya anayeelekea Urusi kuchezesha dimba la dunia kutoka Kenya alikubali dola 600 kutoka kwa mtu aliyejifanya kuwa afisa wa shirikisho la soka la Ghana.

Fifa inasema kuwa refa huyo kwa Jina Aden Range Marwa , ambaye ni mmojawapo wa marefa walioteuliwa na Fifa kushiriki katika kombe la dunia nchini Urusi , hataelekea tena Urusi baada ya kupatikana akipokea zawadi ya $600.

Marwa alipewa fedha hizo na mwandishi mpelelezi aliyejifanya kuwa afisa mkuu wa timu moja kuu ya Ghana. Hatahivyo refa huyo amekana kufanya makosa yoyote.

Mwanachama wa baraza la Fifa nchini Ghana Kwesi Nyantakyi , ambaye ndiye afisa wa pili kwa uwezo katika soka ya Afrika , pia alipatikana na operesheni hiyo kali.

Alionekana akipokea $65,000 kutoka kwa mwandishi mpelelezi aliyejifanya kuwa mwekezaji katika soka ya Ghana.

Nyantakyi amekataa kutoa tamko lolote. Kwa jumla zaidi ya marefa 100 na maafisa wakuu walipatikana katika kamera wakichukua fedha kinyume na sheria za Fifa na GFA .

Makala hiyo iliofanywa na mwandishi aliyezua utata Anas Aremayaw Anas imezua maswali makali kuhusu hatma ya mchezo wa kandanda wenye ushabiki mkubwa barani Afrika.

Chanzo: BBC Swahili
 
Attachments

  • REFA.jpg
    File size
    38.8 KB
    Views
    72

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,836

Makala hiyo iliofanywa na mwandishi aliyezua utata Anas Aremayaw Anas imezua maswali makali kuhusu hatma ya mchezo wa kandanda wenye ushabiki mkubwa barani Afrika. SHITHOLE REFEREE
 
911sep11

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
2,363
2,000
wakichukua pesa ili wafanyenini? habari haijakamilika

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,884
2,000
Daah.., sasa hii ndio inaua soka,unakuta kila siku waarabu wanashinda mechi huku Afrika kwa rushwa tu, wakienda kidunia chali, timu zisizo za waarab za kiafrika ndio zinatutoa kimasomaso
 
G.Jacob

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
3,577
2,000
Walinaswa wanapokea hizo pesa ni jambo la kwanza,
Nia na madhumuni ya kupewa pesa na kuzipokea ni jambo la pili tena muhimu zaidi.

Tuanzie hapo kwanza.
 
MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,836
2,000
wakichukua pesa ili wafanyenini? habari haijakamilika
Fifa inasema kuwa refa huyo kwa Jina Aden Range Marwa , ambaye ni mmojawapo wa marefa walioteuliwa na Fifa kushiriki katika kombe la dunia nchini Urusi , hataelekea
 
hili jibu halijubu kilicho ulizwa
Walinaswa wanapokea hizo pesa ni jambo la kwanza,
Nia na madhumuni ya kupewa pesa na kuzipokea ni jambo la pili tena muhimu zaidi.

Tuanzie hapo kwanza.
tusome vizuri na utuelewe.

nini madhumuni ya kuchukua hizo pesa? wanunukie filimbi au sare za marefa?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,324
2,000

Takriban maafisa 100 wa kandanda katika eneo la Afrika Magharibi na Kenya walipatikana katika kamera wakipokea fedha katika operesheni kali.

Ni miongoni mwa upelelezi wa miaka miwili uliofanywa na mwandishi wa Ghana mwenye utata Anas Aremeyaw Anas. Kipindi cha BBC Africa Eye kimepata kanda za video za kipekee katika makala yao ya mwisho.

Katika kisa kimoja naibu refa kutoka Kenya anayeelekea Urusi kuchezesha dimba la dunia kutoka Kenya alikubali dola 600 kutoka kwa mtu aliyejifanya kuwa afisa wa shirikisho la soka la Ghana.

Fifa inasema kuwa refa huyo kwa Jina Aden Range Marwa , ambaye ni mmojawapo wa marefa walioteuliwa na Fifa kushiriki katika kombe la dunia nchini Urusi , hataelekea tena Urusi baada ya kupatikana akipokea zawadi ya $600.

Marwa alipewa fedha hizo na mwandishi mpelelezi aliyejifanya kuwa afisa mkuu wa timu moja kuu ya Ghana. Hatahivyo refa huyo amekana kufanya makosa yoyote.

Mwanachama wa baraza la Fifa nchini Ghana Kwesi Nyantakyi , ambaye ndiye afisa wa pili kwa uwezo katika soka ya Afrika , pia alipatikana na operesheni hiyo kali.

Alionekana akipokea $65,000 kutoka kwa mwandishi mpelelezi aliyejifanya kuwa mwekezaji katika soka ya Ghana.

Nyantakyi amekataa kutoa tamko lolote. Kwa jumla zaidi ya marefa 100 na maafisa wakuu walipatikana katika kamera wakichukua fedha kinyume na sheria za Fifa na GFA .

Makala hiyo iliofanywa na mwandishi aliyezua utata Anas Aremayaw Anas imezua maswali makali kuhusu hatma ya mchezo wa kandanda wenye ushabiki mkubwa barani Afrika.

Chanzo: BBC Swahili

Dakika mbili ( 2 ) tu baada ya Wewe Kuuanzisha huu ' Uzi ' huyu Member aitawae MakinikiA nae ameanzisha ' the same thread '. Hizi zote zikuwa ' merged ' ingependeza sana ili kutotusumbua katika Kuchangia badala ya kuwa na ' threads ' nyingi za jambo moja.

Hopefully you're fine Mkuu kirerenya
 
MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,836
2,000
Dakika mbili ( 2 ) tu baada ya Wewe Kuuanzisha huu ' Uzi ' huyu Member aitawae MakinikiA nae ameanzisha ' the same thread '. Hizi zote zikuwa ' merged ' ingependeza sana ili kutotusumbua katika Kuchangia badala ya kuwa na ' threads ' nyingi za jambo moja.

Hopefully you're fine Mkuu kirerenya
wadandiaji wa news hao always wanapenda kuingilia news zangu Pambafu
 
911sep11

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
2,363
2,000
Kwani takukuru wakitaka kukunasa huwa wanafanyaje
ni kuwa umeomba rushwa ili ufanye kitu fulani then mtoaji anakuletea za moto

sasa hiyo habari haisemi hao marefa walitaka/walitakiwa kufanya nn ndipo wapewe hizo pesa au ngoja nisome upya maada huwenda sababu imedha wekwa
 
42_007

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,565
2,000
ni kuwa umeomba rushwa ili ufanye kitu fulani then mtoaji anakuletea za moto

sasa hiyo habari haisemi hao marefa walitaka/walitakiwa kufanya nn ndipo wapewe hizo pesa au ngoja nisome upya maada huwenda sababu imedha wekwa
Hao wameshikishwa za moto mkuu...hii inatoa picha kwamba wengi wao hawana integrity na wako tayari kupanga matokea na kuhujumu mchezo.
 
kinjumbi one

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,685
2,000
Fifa inasema kuwa refa huyo kwa Jina Aden Range Marwa , ambaye ni mmojawapo wa marefa walioteuliwa na Fifa kushiriki katika kombe la dunia nchini Urusi , hataelekea tena Urusi baada ya kupatikana akipokea zawadi ya $600.

Marwa alipewa fedha hizo na mwandishi mpelelezi aliyejifanya kuwa afisa mkuu wa timu moja kuu ya Ghana. Hatahivyo refa huyo amekana kufanya makosa yoyote.

Mwanachama wa baraza la Fifa nchini Ghana Kwesi Nyantakyi , ambaye ndiye afisa wa pili kwa uwezo katika soka ya Afrika , pia alipatikana na operesheni hiyo kali.

Alionekana akipokea $65,000 kutoka kwa mwandishi mpelelezi aliyejifanya kuwa mwekezaji katika soka ya Ghana.

Nyantakyi amekataa kutoa tamko lolote. Kwa jumla zaidi ya marefa 100 na maafisa wakuu walipatikana katika kamera wakichukua fedha kinyume na sheria za Fifa na GFA .

Makala hiyo iliofanywa na mwandishi aliyezua utata Anas Aremayaw Anas imezua maswali makali kuhusu hatma ya mchezo wa kandanda wenye ushabiki mkubwa barani Afrika. SHITHOLE REFEREE
Hizo ni njama za wazungu tu, dhidi ya mtu mweusi, kwanini uchunguzi kama huo haukufanyika na huko ulaya?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom