Nawasubili tena apa wale wanaojifanyaga wanaumizwa na upuuzi wa marefa pindi yanga inapobebwa sasa wajitokeze tena kukemea kilichotokea kwenye mechi ya simba na geita gold, je goli la kusawazisha la geita limekataliwa kwa misingi ipi? Mchezaji aliotea au kapombe alisukumwa? Jibu analo mwamuzi martini sanya!!!!!

IMG-20211202-WA0000.jpg
 
Nini Kimetokea? Kuna Watu wamechoka Kupumuliwa Kisogoni?
Haya sasa Hamtapumuliwa tena, Baada ya 11 Dec Baskeli yenu Ya Miti Itakuwa Imehitimisha Kazi Yake na Mtarudi Kwenye Nafasi Yenu Mnayostahili.....!
Ujielewi wewe unayo shida mahali, kwa timu ipi uliyonayo inayokufanya ujigambe ndugu yangu? Siku iyo msije mkaanza tena maneno maneno ya kuhujumiwa na wachezaji wenu, mtaonyeshwa kiwango chenu halisi mlichonacho kutoka kwa mafundi wa mpira tanzania
 
Ni Zuzu (Juha) tu pekee atakataa huu Ukweli. Naipenda Simba SC yangu ila Ushindi wa 'Kimbeleko' kama wa Jana bora nichukiwe kwa Kusema Ukweli kuliko Kuwafurahisha Wanafiki.
Siku zote nyie ni watu wa KIMBELEKO cha nyuma.🤣
 
Ni Zuzu ( Juha ) tu pekee atakataa huu Ukweli. Naipenda Simba SC yangu ila Ushindi wa 'Kimbeleko' kama wa Jana bora nichukiwe kwa Kusema Ukweli kuliko Kuwafurahisha Wanafiki.
Kabisa kabisa mkuu..
Hakuna hata cha kuomba msamaha.
Game ya jana tulibebwa waz waz
 
funny enough huyo dogo ni yanga lia lia sasa sijui hiyo jana alipatwa na nini?............................!
 
Ni makosa ya kibinadamu yanaweza kumtokea yeyote yule, hakuna aliyekamilika cha msingi tumsamehe refa kama tulivyomsamehe yule wa goli kona
 
Simba wanaharibu sana Mpira wetu. Na kama wanafanya hivi hapa ndani basi jawashindwi kuhonga hata marefa Wa kigeni
 
Kweli kabisa Simba imebebwa Jana na hata Yanga ilibebwa ilipocheza na Namungo..
Msimamo wangu wa points kwa Sasa uko hv

1. Yanga 18
2. Simba 15

Kama Kuna points tofauti na hizo kwa Simba na Yanga me sizijui kabisa..

Kiukweli ligi ya bongo ni ya ajabu sana
 
Baada ya kurudia kuulitizama lile tukio kwa makini.
Ni kwamba mfungaji wa Geita alimsukuma Kapombe kabla ya mpira kumfikia kapombe na mfungaji.
Screenshot_20211202-091234_Lite.jpg
 
Nawasubili tena apa wale wanaojifanyaga wanaumizwa na upuuzi wa marefa pindi yanga inapobebwa sasa wajitokeze tena kukemea kilichotokea kwenye mechi ya simba na geita gold, je goli la kusawazisha la geita limekataliwa kwa misingi ipi? Mchezaji aliotea au kapombe alisukumwa? Jibu analo mwamuzi martini sanya!!!!!
Hawawezi kujaa kabisaaaaa!!!!wazushii sanaaa!!leo kimyaaa maana wanaujua ukweli uliotokea janaa!!hizi team zinakera sanaaa kubebwa mpaka zinaboa
 
Back
Top Bottom