mjogoro

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
882
652
Soma mwenyewe
IMG-20211201-WA0019.jpeg
 
😁 😅
Mpira wa tz ni aibu kubwa sana. Ifike hatua tff iamke itangaze kua kombe ni kwa yanga na simba tu hakuna mwingine yyte atakaeruhusiwa kulitwaa kwa namna yyte ile. Shenzi sana yana.
 
Mpira wa bongo umekua wa hovyo sana ,mitim mibovu bado inabebwa hovyo hovyo tuu
 
Timu ndogo zinajitahidi kuwekeza lkn zinaangushwa. Lkn kuna maamuzi asiye ya haki (japo machache) yamefanywa against timu kubwa. Kumbuka goli la Mayele lililokataliwa dhidi ya hawa hawa Geita gold pale kwa Mkapa. Competency ya marefaaaa

Mpira wa tz ni aibu kubwa sana. Ifike hatua tff iamke itangaze kua kombe ni kwa yanga na simba tu hakuna mwingine yyte atakaeruhusiwa kulitwaa kwa namna yyte ile. Shenzi sana yana.
 
Nawasubili tena apa wale wanaojifanyaga wanaumizwa na upuuzi wa marefa pindi yanga inapobebwa sasa wajitokeze tena kukemea kilichotokea kwenye mechi ya simba na geita gold, je goli la kusawazisha la geita limekataliwa kwa misingi ipi?

Mchezaji aliotea au kapombe alisukumwa? Jibu analo mwamuzi martini sanya!!!!!
 
Simba na Yanga tusilaumiane, Yanga vyovyote mmavyotaka poa tutaenda sawa ,hamtuwezi kivyovyote .

Zamu hii ni bampa tu bampa.
Mshindi asipopatikana tutawaleta MO na Ghalib wapigiane matatu
 
Tatizo la ushindani wa kijinga wa mpira nchi hii.

Wanasajili wachezaji kwa pesa nyingi halafu timu inabebwa na waamuzi.
Hili wameluanza yanga naona simba nao wanapitia humo humo.
Sijui kama tutaenda mbali sana.
 
Nawasubili tena apa wale wanaojifanyaga wanaumizwa na upuuzi wa marefa pindi yanga inapobebwa sasa wajitokeze tena kukemea kilichotokea kwenye mechi ya simba na geita gold, je goli la kusawazisha la geita limekataliwa kwa misingi ipi? Mchezaji aliotea au kapombe alisukumwa? Jibu analo mwamuzi martini sanya!!!!!
Naipenda sana timu yangu ya Simba, ila mpaka sasa sijui ni vigezo gani vimetumika kulikataa lile goli. Waamuzi bado ni tatizo katika ligi yetu
 
Nini Kimetokea? Kuna Watu wamechoka Kupumuliwa Kisogoni?
Haya sasa Hamtapumuliwa tena, Baada ya 11 Dec Baskeli yenu Ya Miti Itakuwa Imehitimisha Kazi Yake na Mtarudi Kwenye Nafasi Yenu Mnayostahili.....!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom