Ref: Recovering DVD | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ref: Recovering DVD

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by safariwafungo, Feb 17, 2012.

 1. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hello mabibi na mabwana,
  Wataaalamu nimekutwa na kisa ambapo nilinunua inspirational DVDs from Europe nilivyofika Dar jamaa zangu nikawaazima ambapo wakadiliki kuzi-copy bila taarifa yangu, kimechotokea nikiziweka katika DVD player ama kwenye Kompyuta hazionekani kabiasa na wala kompyuta hai-sense kama kunakitu kimeingia. Wataalamu tafadhari sana naombeni msaada namna ambavyo nitaweza kuzi recover DVD zangu ili niweze kuzitumia.
  Naomba kuwasilisha.
   
Loading...