lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,444
Basi kama Ni hivyo mbona Hakuna vipindi vya michezo saa Tisa usiku kwasababu Kuna watu wanafanya kazi muda huo.Watu wanatofautiana muda wa kufanya kazi, basi kwa mantiki hiyo basi vituo vya redio visirushe kabisa matangazo asubuhi kwasababu watu wanafanya kazi. Naona umetumia same reasoning iliyotumika kuzuia bunge live eti mida hiyo watu wanafanya kazi muda wa kutazama tv wanautoa wapi.
Katika nchi hii working hours ni kuanzia asubuhi Hadi jioni. Wanaofanya kazi usiku Ni idadi ndogo.
Kama asilimia 70 ya wananchi wanajihusisha na kilimo. Ina maana hujui muda wa kujihusisha na kilimo. Au kilimo kwenu mnajishughulisha usiku.