Kwakweli sijajua, maana sijawahi kumsikilza kabisa, Ila mie nachomaanisha ni kuwa Kama unakipaji Basi sio mbaya kukiendeleza kwa kusomea, naamini kuna mambo mengine mengi utajifunza juu ya hiyo taaluma. Na ndio maana tunaweza kusema kiongozi anazaliwa na kutengenezwa kwa wakati mmoja.Dida ana kipaji gani