KAUDO
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 138
- 67
Watangazaji wa redio ya Kasibante inayomilikiwa na Balozi Khamis Kagasheki wamechezea sharubu za Simba baada ya kuendesha mada iliyojadili kesi inayoendelea mahakamani na kuruhusu wasikilizaji watoe maoni.
Meneja wa Redio Emmanuel Mbaule tayari ametumiwa hati ya kuitwa mahakamani kwa kuingilia uhuru wa mahakama na pia alikuwa mwendeshaji wa kipindi hicho.
Kesi iko mahakama ya mwanzo Bukoba.Namba ya kesi na aina ya shauri lililojadiliwa redioni navihifadhi kwa muda kwa sababu muhimu.