Redgold hivi ndivyo mnavyotuua walaji wa bidhaa zenu

MUUZA NGADA

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
340
488
Red gold Ni Jina la Kibiashara la Hawa Wahindi wa Arusha ambao hutengeneza Tomatoe Sauce

Nimeona Bidhaa Yao Ikiwa Sokoni Lakini Haina Tarehe Ya Kumlinda Mteja iwapo Mwisho wa Kuitumia Bidhaa Yao Ni Lini {Namaanisha Expiration date}

IMG_20190331_154700_6.jpeg
IMG_20190331_154635_9.jpeg
IMG_20190331_154644_6.jpeg
IMG_20190331_154630_2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Red gold Ni Jina la Kibiashara la Hawa Wahindi wa Arusha ambao hutengeneza Tomatoe Sauce

Nimeona Bidhaa Yao Ikiwa Sokoni Lakini Haina Tarehe Ya Kumlinda Mteja iwapo Mwisho wa Kuitumia Bidhaa Yao Ni Lini {Namaanisha Expiration date}

View attachment 1059327View attachment 1059329View attachment 1059330View attachment 1059331

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeangalia vizuri? Kwa vile wameandika ''see bottle collar'' huenda imeandikwa kwenye karatasi lililotumika kufunika mfuniko!
 
Mbona kama ulizoshika hapo juu ni feki, jamaa hawana paking mbaya hivyo..sio rahisi wajiingize kwenye mtego rahisi hivyo wa exp date.
 
Mbona kama ulizoshika hapo juu ni feki, jamaa hawana paking mbaya hivyo..sio rahisi wajiingize kwenye mtego rahisi hivyo wa exp date.
chupa zao zipo hivyo,,,,ila nahisi umeshindwa kumuelewa mtengenezaji,,,,,,angalia kwenye shingo ya chupa pande zote,,,izungushe hiyo chupa yao ya plastic pande zote na utizame vzr shingo ya chupa utaona maandishi yameanza na BB
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom