Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,197
- 3,930
BIBLIA inasema:Sijui kushuhudia uongo kwa mambo ambayo yalikuwa wazi kiasi cha kutia aibu ya kitaifa yanalenga nini katika mustakbali wa taifa hili.
Morali ya wananchi kupiga kura itaendelea kushuka sana sana km kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi wa mwaka huu zitaendelna kupakwa rangi na kuonekana ni za kawaida. Madhara yake ni makubwa sana kwa chaguzi zijazo. i
"26 Watu wengi hutafuta upendeleo wa mkuu; Bali hukumu ya kila mtu hutoka kwa Bwana"
~Mithali 29 :26~