Redbregade ya CHADEMA~Kibonde wa Clouds Fm kweli ni kibonde

Musa ni mtoto wa kitaa. Anajua mpaka utumbo wa kuchoma sh 100 kipande na na supu ya hashua(pu*bu) sh 300 kwa bakuli pale uwanja wa fisi. Kibonde na u kada wake atamuweza wapi!

Hahahahhh.
Umeua kaka
 
Huyu jamaa huwa anapata akili wakati anachangia ishu ya waislam, kwani anajua watamfanyaje.
Lakini wachungaji huwa anawatukana anavyotaka.
Hii inadhihirisha anafanya makusudi, na anatafuta ukuu wa mkoa au wilaya kwa kujipendekeza.

Kibonde is right hatuwezi kuwa na vikosi vya ulinzi vyenye maslahi ya vyama vya siasa hatutafika mbali tutavuruga amani na wabaya wengi watakiingiza humohumo na kutuvuruga
 
Nilikuwa nasikiliza Jahazi sasa hivi,yeye na Musa wanajadili issue ya redbregade.Musa ana arguments nzuri sana kuwa ni bora serikali ikakaa na chadema wakajadili kuhusiana na hili kwani vitisho havikuwahi kusaidia.Kibonde yeye anapongeza matamko hayo
Kama hamfahamu ni kuwa ladha ya kipindi hicho ndiyo hiyo watu kuwa na mitazamo tofauti.
Jee mlitaka ndiyo mzee????
 
kumbe ilipigwa faini? mahakamani au ilikuwaje?

Ilipigwa faini ya sh 5m na chombo cha serikali chenye dhamana ya tasnia husika kwa kukiuka maadili na kuamriwa kufutwa kwa kipengele cha ''jicho la ng'ombe'' kwenye kipindi chao cha power breakfast.
 
Huyu jamaa huwa anapata akili wakati anachangia ishu ya waislam, kwani anajua watamfanyaje.
Lakini wachungaji huwa anawatukana anavyotaka.
Hii inadhihirisha anafanya makusudi, na anatafuta ukuu wa mkoa au wilaya kwa kujipendekeza.

Kumbe basi wakrisfo na sisi tuanze kuwa wakali
 
Jina lenyewe Kibonde liko wazi sana na mawazo yake wala asiwape tabu kumjadili huyu kibonde wa mawazo siku zote .
 
bavichaa utawajuwa tu, hawajifichi hata ukiwatia ndani ya chupa.
 
kumbe ilipigwa faini? mahakamani au ilikuwaje?

Sio mahakamani mkuu, ilipigwa fine na TCRA kwa kukiuka maadili na miongozo ya broadcasting. Ilishadadia kwa mihemko kwa namna ya kusupport ushoga katika kipindi chao cha asubuhi kinaitwa breakfast nini sijui!
 
wakuu nashukuru kwa kunijulisha hili, mimi sijui lilinipita wapi!

Sio mahakamani mkuu, ilipigwa fine na TCRA kwa kukiuka maadili na miongozo ya broadcasting. Ilishadadia kwa mihemko kwa namna ya kusupport ushoga katika kipindi chao cha asubuhi kinaitwa breakfast nini sijui!

Ilipigwa faini ya sh 5m na chombo cha serikali chenye dhamana ya tasnia husika kwa kukiuka maadili na kuamriwa kufutwa kwa kipengele cha ''jicho la ng'ombe'' kwenye kipindi chao cha power breakfast.
 
Mwacheni aropoke, si amesikia kuna mkoa mpya unakuja, hivyo anavizia ukuu wa wilaya kwa mara nyingine
Haaaaaaahaaaaaaa!umemgusa Mkoa wake (MBEYA)unagawanywa na kuwa na mikoa miwili RUNGWE NA SONGWE kuna wilaya mpya zitaundwa hapo Kibonde endelelea kupiga jaramba.mbombongafu.
 
Ni sahihi kabisa, hatua ya nne(Stage IV) ya Ugonjwa alionao husababisha baadhi ya wagonjwa kuchanganyikiwa(Kitaalamu inaitwa .....encephalopathy).Kwa hiyo naomba mhurumieni badala ya kumzomea.Hajui atendalo.
Do.. hatare kwel kwel mi nlikuwa sjui ... kumbe ndo maana
 
Back
Top Bottom