Red brigade wana kitu cha kujifunza kwa hawa vijana wa halaiki

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,394
Tunaambiwa tujifunze kwa watu wowote, vitabu vinatuambia tukajifunze hata kwa wasio waumini. CHADEMA wana kitu cha kujinza kwa hawa vijana japokuwa ni watoto lakini kuna baadhi ya mambo hata red brigade wana uwezo wa kujifunza.

Hawa vijana kuna baadhi ya mambo nayaona hapa hata red brigade wanasubiri, mfano
1. Unadhifu
2. kutunza muda
3.Ukakamavu
4. Nidhamu
5. Ubunifu
6. Mazoezi
7. Inteligensia
8. Utayari wa kupambana na majanga
9. NK

CHADEMA wakipata hata vijana 20 kutoka hii halaiki kwenye ulinzi wa chama chao, sidhani kama viongozi wao wangekimbia nchi
 
Kwa akili yako hao Ni Akina Nani? Ni Wana CCM au watoto wa watanzania bila kujari uanachama wa wazazi wao.
Karibuni kuwa na akili watanzania hawamilikiwa na vyama vya sio hii sherehe ya kuzaliwa Chama chochote Cha siasa hapa Ni Uhuru wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom