Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Simba Sc, wakiwa na faida ya magoli matatu waliyoyapata mechi ya kwanza, leo wataingia uwanja wa taifa Lusaka kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Red Arrows kuwania kuingia hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika. Je, mnyama ataweza kulinda ushindi wake na kutinga hatua ya makundi?

Tuwe hapa kuanzia Saa 10 Jioni

====

45' Banda anaitanguliza Red Arrows kwa kuifungia goli la kwanza

47' Red Arrows wanafunga goli la pili punde baada ya mapumziko

67' Dilunga anaiwekea Simba goli la kwanza, Red Arrows 2-1 Simba
 
Simba Sc, wakiwa na faida ya magoli matatu waliyoyapata mechi ya kwanza, leo wataingia uwanja wa taifa Lusaka kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Red Arrows kuwania kuingia hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika. Je, mnyama ataweza kulinda ushindi wake na kutinga hatua ya makundi?

Tuwe hapa kuanzia Saa 10 Jioni
Mnyama anashinda 2 bila
 
Mabata fc wajiandae kwa kichapo kizito maana huko Lusaka hakuna maji leo ya kuogelea.

Screenshot_20211205-135145.png
 
Back
Top Bottom