Recruitment agency ni suluhisho la ajira nchini au ndo chanzo cha ajira nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Recruitment agency ni suluhisho la ajira nchini au ndo chanzo cha ajira nchini?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by herbsman, Jan 18, 2012.

 1. herbsman

  herbsman Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hizi recruitment nchini ni chanzo cha ajira au ndo kikwazo cha vijana kukosa ajira.huku kujuana si kuna athiri sana hawa watoto wa wakulima ambao hawana watu wa ngazi za juu serikalini pamoja na ngazi za juu za makampuni
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Alafu zimejaa kibao.
  Inawezekana zipo ambazo ni suluhisho la tatizo la ajira lakini za kisanii ndio zipo nyingi zaidi.
   
Loading...