Record za ccm zisizoweza kufikiwa na chama chochote tanzania

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
Hata kikiingia chama kingine madarakani, naamini itachukua miaka mingi sana rekodi hizi za CCM kuvunjwa

1. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza duniani kutokujua kwa nini nchi yake ni maskini

2. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu wa kwanza duniani kulia bungeni baada ya kuulizwa swali

3. Mulugo ni naibu waziri wa kwanza wa elimu kutojua madaraja ya walimu(janga hili)

4. Mulugo amekuwa waziri wa kwanza Tanzania kutokujua nchi yake ni muungano wa nchi zipi

5. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza diniani aliyesafiri nje ya nchi yake mara nyingi zaidi akiwa madarakani

6. Wizara ya elimu imeweka rekodi ya kutoa wanafunzi waliofeli kidato cha nne zaidi ya 90%

7. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu aliyedanganya mara nyingi zaidi bungeni

8. Pinda ni waziri mkuu wa kwanza anaedharauliwa na walioko chini yake.

9. Awamu ya nne ya urais inaongoza kwa kutoa ahadi nyingi na kua na vipaombele visivyofanikiwa(eg kilimo kwanza).
 
Mbunge wa CCM alitukana bungeni "f.a.ck you" spika wa ccm akanyamaza, huyu atakuwa anatukana sana wanawe nyumbani
Rais JK alisema wasichana wanaopata mimba vihele hele vyao,
Pinda aliruhusu polisi wawapige wananchi
 
Hata kikiingia chama
kingine madarakani, naamini itachukua miaka mingi sana rekodi hizi za
CCM kuvunjwa

1. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza duniani kutokujua kwa
nini nchi yake ni maskini

2. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu wa kwanza duniani kulia
bungeni baada ya kuulizwa swali

3. Mulugo ni naibu waziri wa kwanza wa elimu kutojua madaraja ya
walimu(janga hili)

4. Mulugo amekuwa waziri wa kwanza Tanzania kutokujua nchi yake ni
muungano wa nchi zipi

5. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza diniani aliyesafiri
nje ya nchi yake mara nyingi zaidi akiwa madarakani

6. Wizara ya elimu imeweka rekodi ya kutoa wanafunzi waliofeli kidato
cha nne zaidi ya 90%

7. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu aliyedanganya mara nyingi
zaidi bungeni

8. Pinda ni waziri mkuu wa kwanza anaedharauliwa na walioko chini yake.

9. Awamu ya nne ya urais inaongoza kwa kutoa ahadi nyingi na kua na
vipaombele visivyofanikiwa(eg kilimo kwanza).

Wewe ni mwehu,mbona unaishia kutaja majina ya watu tu,sema ss ccm yenyewe imefanya nn?ukimaliza nakupa RECORDS za Cdm....Min Kabang weeee.
 
Back
Top Bottom