Record: Ushindi wa Chelsea dhidi ya Aston Villa

Cubicchomox

New Member
Aug 29, 2019
2
2
Ushindi Wa Chelsea Dhidi Ya Aston Villa Ulikuwa Wa(600)Kwenye Ligi Kuu Ya Uingereza

Sasa wanaungana Na Man United(690)Kuwa Timu(2)Pekee Zenye Michezo(600)Ya Kushinda.
 
Still Kuna mpumbavu Fulani atakuja hapa kuinanga Chelsea

England klabu kubwa ni mbili tu MANYUA na sisi THE PRIDE OF LONDON

Kuna klabu kongwe halafu klabu kubwa

Rekodi za klabu yako za mwaka 47 hazina nafasi katika Zama za Sasa za sayansi na teknolijia Zama information age.Zama ambazo sayansi imechukua nafasi kwenyw soka.

Ni eidha uende manyua au uje Chelsea

#KTBFFH
 
One England one Liverpool
 
Hahahaaa! Bhange imewekwa kwenye makosa ya jinai sasa wewe endelea tu, unaposema chelsea kashinda mechi 600 unazani zote 600 kashinda jana? Zingine ni za mwaka 47 jombaa
 
Hajui kitu nyau huyo 🤣🤣
Hahahaaa! Bhange imewekwa kwenye makosa ya jinai sasa wewe endelea tu, unaposema chelsea kashinda mechi 600 unazani zote 600 kashinda jana? Zingine ni za mwaka 47 jombaa
i
 
weweeeee acha kufananisha chama kubwa la Chelsea na vitimu vya kijinga kama man u...….!
 
Hahahaaa! Bhange imewekwa kwenye makosa ya jinai sasa wewe endelea tu, unaposema chelsea kashinda mechi 600 unazani zote 600 kashinda jana? Zingine ni za mwaka 47 jombaa
Nyingi ni za modern era ya wajanja
 
Hahahaaa! Bhange imewekwa kwenye makosa ya jinai sasa wewe endelea tu, unaposema chelsea kashinda mechi 600 unazani zote 600 kashinda jana? Zingine ni za mwaka 47 jombaa
Hahahaha mamaeeee😀😀😀🙌🙌🤔
 
Back
Top Bottom