Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 244
Si kwenye majukwaa, si JF na wala si bungeni kote huko taifa limegawanyika, Wacdm anamtukana wa ccm na Waccm Anamtukana wa CDM, wa cuf anamtukana wa ccm lakini Waccm hamuoni wa cuf Kama ni tatizo kwake, wa nccr mageuzi anamdhihaki na kumtukana wa ccm lakini wa ccm anadhani wote hao no CDM anashusha rungu kwa CDM.
Hapa JF utasikia wa pumbafu wa Lumumba na Yule anasema akili za kibavicha ya uharo.
Nafatilia sana Jinsi mashabiki wa ccm wanavyomtukana mzee Slaa na mh. Mbowe lakini pia nimekuwa nikifatilia sana Jinsi mashabiki wa CDM Jinsi wanavyomdhihaki rais wetu Mh. Kikwete. Inasikitisha sana.
Ivi hatuwezi kujadili Hoja bila kumtukana na kumdhihaki Mtu?
Tuanze na Hapa JF tuweke reconciliation na tujadili halafu tufikie tamati na turudi kuheshimiana hata Kama tunatofautiana mawazo.
Mods tafadhali simamieni hili.