Reconciliation bill: siasa zetu kwa mini tunatukanana?

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
225
Si kwenye majukwaa, si JF na wala si bungeni kote huko taifa limegawanyika, Wacdm anamtukana wa ccm na Waccm Anamtukana wa CDM, wa cuf anamtukana wa ccm lakini Waccm hamuoni wa cuf Kama ni tatizo kwake, wa nccr mageuzi anamdhihaki na kumtukana wa ccm lakini wa ccm anadhani wote hao no CDM anashusha rungu kwa CDM.
Hapa JF utasikia wa pumbafu wa Lumumba na Yule anasema akili za kibavicha ya uharo.

Nafatilia sana Jinsi mashabiki wa ccm wanavyomtukana mzee Slaa na mh. Mbowe lakini pia nimekuwa nikifatilia sana Jinsi mashabiki wa CDM Jinsi wanavyomdhihaki rais wetu Mh. Kikwete. Inasikitisha sana.

Ivi hatuwezi kujadili Hoja bila kumtukana na kumdhihaki Mtu?
Tuanze na Hapa JF tuweke reconciliation na tujadili halafu tufikie tamati na turudi kuheshimiana hata Kama tunatofautiana mawazo.

Mods tafadhali simamieni hili.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
CCM hawawezi leta amani na maridhiano kwa kulazimisha huku wakizidi ua na kubambika kesi za makosa waliyofnaya wao.Wanazidi tufanya tuichukie zaidi.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,555

Unafuatilia vilevile jinsi CCM na serikali yake inavyoua na kung'oa watu kucha kweli?
 
Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
225
Unafuatilia vilevile jinsi CCM na serikali yake inavyoua na kung'oa watu kucha kweli?
Yote hayo nayafatilia na hayawezi ku justify matusi kwa viongozi Kama tunataka kujenga taifa la kuheshimiana, kilichopo ni kujenga Hoja kwa wananchi ili kikifika kipindi wawakatae Ktk Sanduku la kura kwa mauaji Yao.
 
Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
225
CCM hawawezi leta amani na maridhiano kwa kulazimisha huku wakizidi ua na kubambika kesi za makosa waliyofnaya wao.Wanazidi tufanya tuichukie zaidi.
Sawa tuwachukie na kuwaondoa madarakani si njia za kuwaondoa zippo wazi? Au ni haki kutumia nji ya MM kuwaondoa ccm madarakani?
Tujenge Hoja
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,555
2,000
Yote hayo nayafatilia na hayawezi ku justify matusi kwa viongozi Kama tunataka kujenga taifa la kuheshimiana, kilichopo ni kujenga Hoja kwa wananchi ili kikifika kipindi wawakatae Ktk Sanduku la kura kwa mauaji Yao.

Matusi vs Mauaji: Mauaji hayawezi ku-jutify matusi! Incredible and unbelievable. Labda neno ku-justfy limekuendea kombo! Kiongozi anayeua si tu anastahili matusi na laana zote.... bali kifungo na hata kunyongwa! By the way nani mwenye udhubutu wa kuwatukuna ''waheshimiwa'' sana kina Kikwete! Onyesha hayo unayoyaita ''matusi'' kwa watawala. Sana sana utakuta wao ndio wenye jeshi la kutukana wapinzani na wanatumia fedha za kodi yetu kuwalipa! Halafu wewe kwa ukikaragosi wako unataka kutu-brainwash eti matusi yanatoka pande zote!
 
Ukikaragosi wangu........ Ukikutana na kichaa mwangalie halafu Menda zako.
Kwa hiyo mauaji yanajibiwa kwa matusi? What a very low minded person!
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,555
2,000
Ukikaragosi wangu........ Ukikutana na kichaa mwangalie halafu Menda zako.
Kwa hiyo mauaji yanajibiwa kwa matusi? What a very low minded person!

Wewe soma nilichoandika wacha kujichenga mwenyewe... rudi tena kasome nimesema hivi: Kiongozi anayeua si tu anastahili matusi na laana zote.... bali kifungo na hata kunyongwa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom