Kama engine bado iko vizuri weka Castrol Magnetic 10W 40Wakuu nimenunua Suzuki Grand Escudo, imetembea 140,000kms nataka kuifanyia service niweke Engine Oil ya Code Gani 10w-30, 5w-40, 5w-30??
Engine kuwa vizuri atatumia vigezo gani?Kama engine bado iko vizuri weka Castrol Magnetic 10W 40
Engine ambayo haichomi kiasi kikubwa cha Oil. Labda niongee hivyo.Engine kuwa vizuri atatumia vigezo gani?
Asante kwa ushaurHiyo Gari makini Sana. Uitunze
Fuata recommendations za ma-giants wa maswala ya oil duniani-zamani tulikuwa tunafuata sana classifications za SAE-USA, ila kwa sasa kwa generation tuliyopo recommendations za API-American Petroleum Institutes zinapendelewa kwa sababu ziko up to date,andika mwaka wa gari, engine model and etc watakupa oil sahihi ya gari lako.Zingatia pia recommendation za manufacturer.Wakuu nimenunua Suzuki Grand Escudo, imetembea 140,000kms nataka kuifanyia service niweke Engine Oil ya Code Gani 10w-30, 5w-40, 5w-30?
Nami nilishauriwa na dealer niweke 5W 40, castro full synthetic. Bei yake imechangamka kiasiWeka 10w-30 au ukikosa 10W-40
Wakuu nimenunua Suzuki Grand Escudo, imetembea 140,000kms nataka kuifanyia service niweke Engine Oil ya Code Gani 10w-30, 5w-40, 5w-30?