Recommended Accounting Systems

The Giant

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
504
96
Wakuu habari,
Nina mdogo wangu ana diploma ya accounting toka Chuo flani cha mambo ya fedha hapa mjini. Akiwa chuoni hawakuweza kufundishwa jinsi kutumia system yoyote ya accounting. Kwa hiyo CV ni dhaifu kiasi kupata ajira.
Experience aliyo nayo ni ya field tu, ambayo ni almost nothing. Na pia hana uelewa wowote wa accounting system yoyote. Na mambo ya paperworks ni outdated kwa sasa.
Nilikuwa naomba kujua vitu vitatu.
  1. Recommended softwares ambazo unazifahamu akajifunza na bado zinatumika makazin kwa sasa.
  2. Sehemu ambapo anaweza kupata internship ktk ishu ya accounting.
  3. Hivi kwa hawa bank tellers wanahitaji usome kozi gani? Ni vitu gani special wanahitaji?
Msaada wakuu, tumsaidie dada etu. Mtaani panachosha!
Asante!
 
Kwa kuanzia ajifunze quick book,tally(wahindi wanaipenda),...ajue vizur ecell na word....kwa level yake aanzie hapo...zingine atazikuta kazin wala sio ngumu hata kidogo.
 
TALLY, QUICKBOOK NA SAGE 300 ni accounting packages zinazotumiwa na organization nyingi pia mshauri ajiendeleze zaidi afikie level ya CPA bado kijana mdogo
 
Kwa kuanzia ajifunze quick book,tally(wahindi wanaipenda),...ajue vizur ecell na word....kwa level yake aanzie hapo...zingine atazikuta kazin wala sio ngumu hata kidogo.
Kwa kuanzia ajifunze quick book,tally(wahindi wanaipenda),...ajue vizur ecell na word....kwa level yake aanzie hapo...zingine atazikuta kazin wala sio ngumu hata kidogo.
Nashukuru sana Kaka Igwe
 
Vyuo vya maghumashi hivyo.. best accountant wanatoka.. Mzumbe, IFM, MoCu na kwa mbaali UDSM tena wao wana BCOM.. Accounting packages mara nyingi hupigwa tofaouti.. afu inahitaji usome pekee ili uwe master katka hiyo sekta maana kuna packages kama 3 muhimu..
haaaa hivi we unaakili timamu?? mi sijataka kuzungumzia hayo wewe unataka kuleta kitu ingine tena
 
hebu tuambie kasoma university au college km college bx ni haki yake kutokujua lkn kwa alisoma university lazma asome accounting package
 
hapo nilipo bold nilikutana na wanafunzi wa St john's university of Tanzania wanasoma Tally kama Course kabisa yani miezi minne. Yni lipo ndani ya zile course za semister nzima
nimeipenda hiyo Naskiaga tu st john kumbe nao wanajikongoja vizuri
 
Wakuu habari,
Nina mdogo wangu ana diploma ya accounting toka Chuo flani cha mambo ya fedha hapa mjini. Akiwa chuoni hawakuweza kufundishwa jinsi kutumia system yoyote ya accounting. Kwa hiyo CV ni dhaifu kiasi kupata ajira.
Experience aliyo nayo ni ya field tu, ambayo ni almost nothing. Na pia hana uelewa wowote wa accounting system yoyote. Na mambo ya paperworks ni outdated kwa sasa.
Nilikuwa naomba kujua vitu vitatu.
  1. Recommended softwares ambazo unazifahamu akajifunza na bado zinatumika makazin kwa sasa.
  2. Sehemu ambapo anaweza kupata internship ktk ishu ya accounting.
  3. Hivi kwa hawa bank tellers wanahitaji usome kozi gani? Ni vitu gani special wanahitaji?
Msaada wakuu, tumsaidie dada etu. Mtaani panachosha!
Asante!
Kampuni nyingi ndogo na za kati wanatumia QuickBooks. Kama anataka kufanya kazi kwa kampuni za wahindi asome TALLY
 
1. Tujue alisoma chuo gani.??
2. Field alifanyia wapi??
Maana maeneo karibia yote hutumia ACCOUNTING PACKAGES.. ss yy field alifanyia DUKANI??
2. ACCOUNTING PACKAGES HAWAFUNDISHI CHUONI AS KAMA TOPIC BALI NI JANJA YAKO KUSHIRIKIANA NA WADAU AU KWENDA KUSOMEA SPECIAL KESI KAMA HIZO KWENYE COLLAGES MBALIMBALI ZINAZOTOA SHORT COURSE MAANA HII PACKAGE NI KOZI YA MUDA MFUPI..
Ushauri..
Yapo makampuni mengi au hata NGOs ambazo huhitaji hao watu wa kujitolea.. Aende ajishikize

1. Alisoma Chuo cha Uhasibu (TIA)
2. Field kafanyia wizara ya kazi na ajira (hakutumia software yoyote ya accounting).
 
Wakuu habari,
Nina mdogo wangu ana diploma ya accounting toka Chuo flani cha mambo ya fedha hapa mjini. Akiwa chuoni hawakuweza kufundishwa jinsi kutumia system yoyote ya accounting. Kwa hiyo CV ni dhaifu kiasi kupata ajira.
Experience aliyo nayo ni ya field tu, ambayo ni almost nothing. Na pia hana uelewa wowote wa accounting system yoyote. Na mambo ya paperworks ni outdated kwa sasa.
Nilikuwa naomba kujua vitu vitatu.
  1. Recommended softwares ambazo unazifahamu akajifunza na bado zinatumika makazin kwa sasa.
  2. Sehemu ambapo anaweza kupata internship ktk ishu ya accounting.
  3. Hivi kwa hawa bank tellers wanahitaji usome kozi gani? Ni vitu gani special wanahitaji?
Msaada wakuu, tumsaidie dada etu. Mtaani panachosha!
Asante!
Km yupo dar, na ki-jografia yupo jirani na temeke, najitolea kumfundisha Tally na Quickbooks bure, kwa sharti kwanza awe na laptop pili awe ni mvulana. kwa ufafanuzi zaid ni PM
 
Back
Top Bottom