The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Wakuu habari,
Nina mdogo wangu ana diploma ya accounting toka Chuo flani cha mambo ya fedha hapa mjini. Akiwa chuoni hawakuweza kufundishwa jinsi kutumia system yoyote ya accounting. Kwa hiyo CV ni dhaifu kiasi kupata ajira.
Experience aliyo nayo ni ya field tu, ambayo ni almost nothing. Na pia hana uelewa wowote wa accounting system yoyote. Na mambo ya paperworks ni outdated kwa sasa.
Nilikuwa naomba kujua vitu vitatu.
Asante!

- Recommended softwares ambazo unazifahamu akajifunza na bado zinatumika makazin kwa sasa.
- Sehemu ambapo anaweza kupata internship ktk ishu ya accounting.
- Hivi kwa hawa bank tellers wanahitaji usome kozi gani? Ni vitu gani special wanahitaji?
Asante!