Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,529
- 8,614
Hii vita inaweza kuzua balaa tukawa na uhasama mkubwa na rwanda pamoja uganda . Kama kweli hatuna maslai makubwa congo hakuna haja ya kujiingiza kichwa kichwa . Ila kama kuna faida yakueleweka twendeni tukapambane . DRC ni shamba la bibi kila nchi inaenda kuvuna rasilimali kadri inavyowezekana.
Juzi kwenye kuapishwa rais Wa KENYA ....Kagame hakuonekana kuwachangamkia Rais wetu na wa South Afrika....
Kagame NA Museveni ni Wanafiki...