Sababu ya kulipuuza gazeti la the Economist

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Nimetafuta kupitia google kuhusu gazeti hili la The economist na nikaona pamoja na mengi linaloandika lakini kuna mabaya kuhusu uandishi wao na maadili yetu kama watanzania.soma hizi comments ili uchukue msimamo.
Hasa hasa katika eneo la kijamii.

Economic issues: Usually but not always conservative. They prefer lower taxes and fewer regulations, and they approve of schemes such as privatization of government assets. However, they are very much orthodox economically, so they support Keynesian policies such as economic stimulus that some people see as left-wing. There are a few issues where they don't align to the right at all. For example they are strongly in favor of action to address climate change, whether through a cap-and-trade scheme or a carbon tax, even though it will require massive government intervention in the economy.

Social issues: Liberal in all cases that I can recall. They support gay marriage, reproductive rights, drug legalization (of all street drugs), legal prostitution, legal euthanasia, and civil rights in general. They support high levels of immigration, and for example in the US they support amnesty for illegal immigrants, they support universal healthcare (though they prefer private market delivery mechanisms). They believe in lowering prison populations and in liberal sentencing. And so on[B\]

Foreign Policy: They are strongly in favor of a world dominated by western values, and prefer the US to openly exert its influence in the world. But they are not always in favor of military action. They think Liberal Democracy is the best form of government and that US and western foreign policy should promote it. They are slightly, but not extremely, pro-Israel. In my experience, Foreign policy is the area where they are the most inconsistent. They seem to be alternately hawkish and dove-ish.

Jamaa anavuruga UCHUMI wa Nchi..

The Economist hawajakosea..

Hayo mengine sio kwa sana hivi sasa..

Linalotuhusu ni hili la Pogba kuvuruga Uchumi wa Nchi na kukandamiza wapinzani..

Tena The Economist wameeleza vizuri sana jinsi jamaa/serikali inavyohusika na kumpiga risasi Tundu Lissu..

Hili gazeti LIDUMU.
 
Tunapoyasoma haya magazeti ni vyema tukatambua misimamo yao kuhusu mambo kadhaa kwani wanaweza wakawa wanaandika kwa niaba ya mabwa.bwa bila sisi kujua na tukaona wako sahihi.
 
wapo mashoga waliodakwa hivi karibuni ...sasa tutajuaje kuwa sio washirika wao walioamua kutusema vibaya?

Great thinkers tuna uwezo wa kubeba mambo mengi kwa wakati mmoja
 
Watanzania tujenge confidence ya kupambana na hawa makaburu na mabeberu katika sura zao zote
 
Tunapoyasoma haya magazeti ni vyema tukatambua misimamo yao kuhusu mambo kadhaa kwani wanaweza wakawa wanaandika kwa niaba ya mabwa.bwa bila sisi kujua na tukaona wako sahihi.
Sihitaji kuujua msimamo wako kuuona ukweli ambao uko Dhahiri! Leo ukiniambia kuwa nyerere ndiye Rais wa kwanza tanzania nitahitaji kuujua msimamo wako kukubali hilo? Tunachongalia kwenye habari ni authenticity kwanza! Mengine ni mbwembwe tu
 
Watanzania tujenge confidence ya kupambana na hawa makaburu na mabeberu katika sura zao zote
Wamesema hivi-members of the Civic Un
ited Front, a separatist-leaning party that won elections in 2015 that were later annulled, have been targeted by pro-governmen
t militias known as “zombies
Kuna cha uongo hapo?
 
Sihitaji kuujua msimamo wako kuuona ukweli ambao uko Dhahiri! Leo ukiniambia kuwa nyerere ndiye Rais wa kwanza tanzania nitahitaji kuujua msimamo wako kukubali hilo? Tunachongalia kwenye habari ni authenticity kwanza! Mengine ni mbwembwe tu
Hoja ni kwamba The economist wanaweza kuandika biased article kwa kuwapendelea mashoga tena bila hata kuulizia upande wa serikali...hili ni muhimu kwa sisi wasomaji kulitambua kama vile tunavyoyatambua magazeti yetu nchini.
 
Wamesema hivi-members of the Civic Un
ited Front, a separatist-leaning party that won elections in 2015 that were later annulled, have been targeted by pro-governmen
t militias known as “zombies
Kuna cha uongo hapo?
Je ni kweli kama ZOMBIES ni goverment militias?
Katika vikosi vyote vya ulinzi na usalama nchini kuna kikosi cha zombies au goverment militias?
 
Hoja ni kwamba The economist wanaweza kuandika biased article kwa kuwapendelea mashoga tena bila hata kuulizia upande wa serikali...hili ni muhimu kwa sisi wasomaji kulitambua kama vile tunavyoyatambua magazeti yetu nchini.
Hata wakipendelewa mashoga,na ikiwa wana haki ya kupewa huo upendelea basi ni sahihi!! Hebu amka hapo halafu tafuta shoga mmoja umtandike rungu la kichwa bila sababu halafu uone hadhira itampendelea nani! Shida si msimamo tu!shida ni usahihi wa msimamo wako! Mfano magufuli yuko sahihi kujenga SGR kutoka dar hadi mwanza!lakini hayuko sahihi kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa ambavyo vipo kisheria na kikatiba!! Come on! Sema hajapiga marufuku!
 
Je ni kweli kama ZOMBIES ni goverment militias?
Katika vikosi vyote vya ulinzi na usalama nchini kuna kikosi cha zombies au goverment militias?
Uvccm ni government militia? Je inatekeleza maagizo yoyote kutoka kwa government official/s? If yes are they Pro gov militias? If no then who are they abide to? Isis? Al-qaeda? Pope?
 
Hata wakipendelewa mashoga,na ikiwa wana haki ya kupewa huo upendelea basi ni sahihi!! Hebu amka hapo halafu tafuta shoga mmoja umtandike rungu la kichwa bila sababu halafu uone hadhira itampendelea nani! Shida si msimamo tu!shida ni usahihi wa msimamo wako! Mfano magufuli yuko sahihi kujenga SGR kutoka dar hadi mwanza!lakini hayuko sahihi kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa ambavyo vipo kisheria na kikatiba!! Come on! Sema hajapiga marufuku!
Kwa watanzania wote ushoga sio maadili yetu na tunatakiwa tuuchukie katika sura zake zote
 
Uvccm ni government militia? Je inatekeleza maagizo yoyote kutoka kwa government official/s? If yes are they Pro gov militias? If no then who are they abide to? Isis? Al-qaeda? Pope?
Uvccm sio militias leave aside goverment militias
 
Back
Top Bottom