Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,335
- 6,617
Acha kufuru..
Huyo mwenye hilo tumbo angekuwa Mzazi wako ungesema hayo maneno
Acha kufuru..
Mataga ametaga.
Alikua anajitapa kumbe
Pamoja na hayo, usiendelee kutoa maneno yanamdhalilisha binadamu mwenzako.Hiyo ndio fact... haiteteleki hiyo.
Tumbo hili ni zao ya chakula cha ziada ambacho kulikosa kutumika...
Rejea baolojia uliosoma.
Pamoja na hayo, usiendelee kutoa maneno yanamdhalilisha binadamu mwenzako.
Inawezekana kabisa hata yeye hapendi hali hiyo ila sasa atafanyaje?
Busara itawale moyo wako boss
Sana, ooh, nimepunguza kilo 8, nataraji kupunguza hadi 12 na nitafika Kileleni! Kilichotokea akapichaduka kuwa kafika na kwa wasioamini video inafuata. Labda simu ilizima kitokana na baridi la huko juu
Mkuu na wewe kama una tumbo kama hilo fanya mpango ulikatie chini.Huyo mwenye hilo tumbo angekuwa Mzazi wako ungesema hayo maneno
OkMkuu na wewe kama una tumbo kama hilo fanya mpango ulikatie chini.
Wenye matumbo dizaini hii ni wale wanaosemaga" hili nikiliamulia wiki tu linatoka""kesho naanza mazoezi"kila siku inakua kesho kesho!mpk akija kushtuka tumbo kubwa mazoez hawezi tena anakata tamaa!