Reason... kila jambo linahitaji maandalizi.

Wenye matumbo dizaini hii ni wale wanaosemaga" hili nikiliamulia wiki tu linatoka""kesho naanza mazoezi"kila siku inakua kesho kesho!mpk akija kushtuka tumbo kubwa mazoez hawezi tena anakata tamaa!
 
Wenye matumbo dizaini hii ni wale wanaosemaga" hili nikiliamulia wiki tu linatoka""kesho naanza mazoezi"kila siku inakua kesho kesho!mpk akija kushtuka tumbo kubwa mazoez hawezi tena anakata tamaa!
 
Alikua anajitapa kumbe

Sana, ooh, nimepunguza kilo 8, nataraji kupunguza hadi 12 na nitafika Kileleni! Kilichotokea akapichaduka kuwa kafika na kwa wasioamini video inafuata. Labda simu ilizima kitokana na baridi la huko juu🤣🤣
 
Hiyo ndio fact... haiteteleki hiyo.

Tumbo hili ni zao ya chakula cha ziada ambacho kulikosa kutumika...

Rejea baolojia uliosoma.
Pamoja na hayo, usiendelee kutoa maneno yanamdhalilisha binadamu mwenzako.
Inawezekana kabisa hata yeye hapendi hali hiyo ila sasa atafanyaje?

Busara itawale moyo wako boss
 
Kusema tumbo baya ndio kukosa busara? Basi samahanini kwa ukosefu wa busara..
Pamoja na hayo, usiendelee kutoa maneno yanamdhalilisha binadamu mwenzako.
Inawezekana kabisa hata yeye hapendi hali hiyo ila sasa atafanyaje?

Busara itawale moyo wako boss
 
At least alijaribu angalau... ndio maana liko hivo... ata rick ross alipokua anapungua mimafuta ilishuka
Sana, ooh, nimepunguza kilo 8, nataraji kupunguza hadi 12 na nitafika Kileleni! Kilichotokea akapichaduka kuwa kafika na kwa wasioamini video inafuata. Labda simu ilizima kitokana na baridi la huko juu
 
JB hata angejiandaa miaka miwili kabla

Asingepanda huo mlima hata robo

Kupanda tu kitandani mpaka mazoezi

Ndo ije mlima k.njaro?!
 
Jamaa ni kama anasema "Sijui kiranga gani kimenileta huku" hapo njaa inamuuma hatari!
 
hii kasumba wengi sana tunayo.
Wenye matumbo dizaini hii ni wale wanaosemaga" hili nikiliamulia wiki tu linatoka""kesho naanza mazoezi"kila siku inakua kesho kesho!mpk akija kushtuka tumbo kubwa mazoez hawezi tena anakata tamaa!
 
Back
Top Bottom