Realme x2 Pro & Oppo Reno Ace: Simu zinazoweza kuchajiwa kutoka 0% hadi 100% kwa muda wa dakika 30 tu

42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
6,833
8,809
Miaka ya hivi karibuni ilionekana kuna tatizo katika suala la kuchaji simu zetu. Kwamba inachukua muda mrefu sana kwa simu kuchajiwa hivyo muda mwingi unapotea katika kusubiri simu ijae.

Sijajua ni kampuni gani hasa ndio walikuwa wa kwanza kuja na hiyo idea ya fast charging lakini leo hii makampuni yote makubwa ya simu wanapotoa flagships zao lazima zinakuwa na fast charging system.

Tumeshuhudia simu kama huawei p30 pro ikiwa na 40W (70% in 30 minutes), Iphone wana 18W (50% in 30 minutes). Pia Samsung wanayo ila sikumbuki exactly ni watt ngapi na kampuni nyingine nyingi wakiweka fast charging system kwenye simu zao wanazotoa.

SuperVOOC FLASH CHARGE

Siku za hivi karibuni, kampuni ya Oppo na Realme ambapo zote ni subsidiary company zilizo chini ya BBK Electronics kama parential company wamefanya kitu ambacho kimenisuprise kwa kweli.

Oppo wao wametoa simu yao inayokwenda kwa jina la Oppo Reno Ace na ndani ya box wameinclude 65W SuperVOOC flash charger ambayo inakuwezesha kuicharge simu hiyo yenye battery ya ukubwa wa 4000mAh kwa muda dakika 30 tu.

Realme nao hawakuwa nyuma, wakatoka simu inayokwenda kwa jina la Realme X2 pro na ndani ya box wakainclude 50W SuperVOOC flash charger ambayo inakuwezesha kuicharge simu hiyo yenye battery ya ukubwa wa 4000mAh kwa dakika 30 tu.

Ingawa katika real life practise hizo dakika zinazidi kidogo kama dakika 2 au 3 tu na si zaidi ya hapo.

Yaani kwa kifupi unaweza ukachelewa kuamka asubuhi simu haina charge na unataka kuwahi sehemu then ukaiboost tu kidogo na ukawa na asilimia za kutosha za charge.

Ukiachana na hilo flash charging pia simu hizo zimekuja na specs zingine kali kama Super amoled display, 64mp camera, 6 to 12GB of RAM, 64 to 256GB of storage(from UFS 2.1 TO UFS 3.0), SDD 855+ ambayo ni 7nm, Stereo speakers, headphone jack pamoja na underdisplay fingerprint.

Halafu cha ajabu kuliko zote ni bei zake kuwa cheap sana. Realme X2 pro inaanzia $420 while Oppo Reno Ace inaanzia €380 tu.

I swear kama Samsung akitengeneza simu kama hiyo basi price yako ingeanzia kwenye $1300 hivi na kama Iphone akitengeneza simu yenye specs hizo basi price ingeweza hata kuanzia $2500.

Technology inakua kwa kasi sana. Kuna stage itafika tutakuwa tunatembea na bombs kwenye mifuko yetu.
 
Duuh.... huyu BBK anakuja juu sana

Hahaah... Punguza sauti mkuu watu wa tecno wakikusikia watakurarua.
Mi nashukur hata sasa maana kutoka kutumia matecno yanayojaa kwa masaa manne 4 ± kuganda ganda ovyo now niko na mnyama Galaxy A30 gb64 ram 4 na betri 4000 unachukua lisaa limoja na robo kujaa ni fast changing ya 15 sio mbaya aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom