Real & Perfect ways of making mean money online

Charles1990

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
249
46
Wakuu mimi nimeshajaribu kutafuta njia mbalimbali za kupata hela kwa kutumia internet kama kufanya survey mbalimbali na kujaribu bidhaa mpya.Lakini katika nafasi hizo nimekutana na mambo matatu makubwa:

1> Zinakuwa ni kwa ajili ya nchi ambazo sio za Afrika(nimewahi kukutana na moja tu,tena kwa bahati sana,ambayo ilikuwa ni worldwide.Hata hivyo hiyo hela sijaiambulia hadi leo)

2> Unalazimika kulipa kiwango fulani cha pesa ili upate mafunzo yatakayokuwezesha kupata nafasi hiyo.(nina wasiwasi wa kulipa hela katika kitu nisichokielewa vizuri nisije nikaingizwa town bila kuwa na wakunipokea)

3> Malipo mengi yanakuwa yanafanyika kwa njia ya posta ndio maana inakulazimu kuwa unaishi huko kwa wenzetu ili uweze ku-qualify. Pia hata katika hizo ambazo mtanzania unaweza kushiriki wanakuambia kwamba malipo yanafanyika kwa benki, kitu sidhani kama benki za Tanzania zinafanya.Kama kuna benki inayoweza kupokea fedha iliyotumwa kutokea benki za nje bila mlolongo ningependa kuifahamu.

Pia ningependa kujua Zip code kwa Tz inakuwaje?

Naombeni sana wakuu.Nina hakika humu ndani kuna ambao mnatumia Internet kupata hela,ni vizuri tukashirikishana jamani.
Sio lazima iwe hela nyingi.Nipo tayari hata kutengeneza $5 tu kwa siku.Pia naomba mwenye uwezo wa kunitatulia hayo matatizo hapo juu anisaidie.

Help me guys!Please
 
Kutengeneza pesa online inawezekana sana ila njia unayoelekea, watakaotengeneza pesa online ni wale unaotaka kuwatumia hizo pesa. Hizo $5.00 per day utandelea kuisikia hivyo hivyo.
 
Kutengeneza pesa online inawezekana sana ila njia unayoelekea, watakaotengeneza pesa online ni wale unaotaka kuwatumia hizo pesa. Hizo $5.00 per day utandelea kuisikia hivyo hivyo.

*** Zipcode*** iache wazi kwa Tanzania.

Sasa bwana juakali mbona umeniacha tena hewani ndugu yangu?I dont know anything about making money online.I just need guys like you to point me to the right direction.Please bwana juakali,help me here.
 
2>Unalazimika kulipa kiwango fulani cha pesa ili upate mafunzo yatakayokuwezesha kupata nafasi hiyo. (nina wasiwasi wa kulipa hela katika kitu nisichokielewa vizuri nisije nikaingizwa town bila kuwa na wakunipokea)

Hiyo ndo njia mojawapo ya kupata pesa Oline. Wewe waweza kuitumia pia!
 
Tengeneza service ambayo watumiaji watalipia.

Angalia watu kama PayPal wanakula pesa kwa service yao. Which service, inategemeana na creativity yako.
 
Sasa bwana juakali mbona umeniacha tena hewani ndugu yangu?I dont know anything about making money online.I just need guys like you to point me to the right direction.Please bwana juakali,help me here.

Wewe wanaigeria watakuja ku.la hela yako . kuwa makini sana mjomba.
 
Usidanganyike kwamba unaweza kurupuka tuu na kutengeza $5 kwa siku, hakuna kitu kama hicho. Unahitaji ujuzi, kutokukata tamaa na usiwe emotional pale ambapo mambo hayata kwenda vizuri. Ni kweli mambo ya survey yanaweza kukusumbua hasa kama upo bongo, ila ukweli ni kwamba huwezi kutengeneza $$$ ya maana kufanya survey.

Unatengeza $$$ kama unauza siri yakufanya hiyo survey (selling information). Mfano unaweza andika kijitabu (ebook) kinacho elezea jinsi ya kutafuta hizo survey halafu ukakiuza kwa $29. Kwasiku unaweza uza nakala zako 10 na kutengeneza $290. Kabla ya kuwa na kipato cha mtandao ni lazima uwe na elimu ya mtando, pia lazima ujue jinsi ya kuuza (the art of selling).

Sasa sijui wewe mzuri katika nini. Ni kweli unaweza kutengeneza zaidi $100,000 kwa mwezi mtandaoni ila tuu lazima ujue kitu fulani mfano jinsi ya kutafuta masoko (marketing) au jinsi ya ku program. Pale ambapo siyo mzuri sana unaweza lipa mtu (freelancer) akufanyie kazi.

Elewa kwamba unapo anza ni lazima uinvest (pesa au muda). Kama huna kati ya hivi viwili basi itakuwia vigumu kutengeneza $$$ mtandaoni. Pia kuwa tayari kukatishwa tamaa kwasababu ndiyo maisha ila kama utaendelea matokeo yake yatakuwa mazuri na watu watakuwa wanakuonea wivu tuu kwa jinsi mambo yako yalivyo mazuri.
 
Chamoto,

How in hell was I supossed to know all this?! Thank you very much!Lakini naweza kutengeneza e-book kwa simu kweli?? (usincheke)
 
Last edited by a moderator:
How in hell was I supossed to know all this?!Thank you very much!Lakini naweza kutengeneza e-book kwa simu kweli??(usincheke)

If you have a smart phone Yes but don't sweat for it, you only
need MS word and Adobe Pro

Here are steps to follow:
1. Search on Google for survey articles
2. Compile those articles into a short report on a MS WORD.
3. Convert the Word document into a PDF.

(DONE).

That's just an example but you can create any information product. However when selling an information product, you have to look for a hungry market. What I mean is to try to solve a problem for people who are desperate. Look for helping people who are either fade up or embarrassed with their situation.

Something like...

- How to lose weight
- How to last longer (2 min men)
- How to Make money
- How to spot a cheating wife/husband
- How to get your ex back
- How to keep your lover
- How to win a lottery
- How to get pregnant
- How to get rid of vaginal odor
- How to increase your libido
- How to talk to women in clubs

You get the idea.

You see the point is to sell something that solve a problem to an emotionally charged person. A guy who isn't sure whether his girlfriend is cheating will spend an arm and leg to find the truth. If you sell that info for $97 he won't hesitate to fork any amount he has to scratch his itch.

Got it. (OK)

Once that's done create a mini site, put a Paypal BUY button, drive some traffic (this is another story worth it's own thread) and wait for the $$$ to show up.
 
Chamoto,

Ooh man!Thank you,thank you,thank you.Ngoja nianze nianze mchakato wa kununua desktop manake hivyo vitu naona kwenye hii symbian phone yangu itakuwa ndoto.

Sasa mheshiwa naomba uniwekee na hiyo thread ya ku"drive some traffic" ili niendele kuzimaster siku nikipata hiyo computer niingie mzigoni moja kwa zote!

May God bless you my man;sikutegemea kupata mawazo mazuri kiasi hiki.Kweli JF ni baaaaaad news!
 
Salama jamani? naombeni kujua namna ya kufanya kazi online na kutengeneza hela bila kuwa na blog au website,kama kuna mzoefu anisaidie✌
 
badilisha heading bwana, wengine tunaosoma haraka haraka tumeshatukana
 
Salama jamani? naombeni kujua namna ya kufanya kazi online na kutengeneza hela bila kuwa na blog au website,kama kuna mzoefu anisaidie✌

Nextime ukitaka kuchanganya lugha weka nafasi mfano Ku make! Ukisema kumake it sounds weird na msomaji anaweza kupata tafsiri tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom