Real Madrid v/s Bayern Münich - Nani ataungana na Chelsea?

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Fuatilia jawabu hadi filimbi ya mwisho.
Mimi ninabaki na Real Madrid (at least that's my hope but the winner will be the one who have guts).
 
Jana wachezaji wa real madrid walifungua shampeni na kugongesha glasi baada ya mahasimu wao kuondolewa na chelsea. Tusubirie nao leo itakuwaje?
 
Bayern anaweza kabisa akamchomoa Real - threat ya Ribbery, Robben na Gomez si ya kubeza na itawafanya Real waongeze ulinzi nyuma, hence less people forward!

Well, tusubiri tu - bado dakika chache sana,
 
Katika mchezo huu kuna jumla za kadi za njano 11 kutoka game iliyopita kwa wachezaji 22 wanaoanza leo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom