Real Madrid v/s Bayern Münich - Nani ataungana na Chelsea?

Huyu mzembe gomez akileta za kuleta transfer window tutamuuza mtibwa sugar, nafasi za wazi yeye anatuletea za kiduku bana. Nyanbaaf zake
 
Wasiwasi wangu R.Madrid yasijekuwafika yaliyowafika Barca jana.
 
Half time,kiukwe mi nataka real madrid watolewe. Bora 2kose wote. Kelele zitakuwa nyingi. Mourinho! Hapana,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom