Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT:timu imecheza vizuri sana...Isco disco ametawala sana kati kuelekea mbele akishirikiana vyema na modric,kroos na mlinda beki cas....tumetulia sana...timu ikiwa na mpira unaoana kabisa haina papara na ipo makini katika kitoa pasi...mapungufu ni kidogo haswa kwa mchezaji binafsi ambaye ni benzema...akipata mpira hajui afanye nini,nafikiri sub yake akiingia Lucas au Ansesio siyo mbaya...ila hadi hapa timu imetawala vyema...
 
Back
Top Bottom