Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

REAL YAANZA MAZUNGUMZO NA HAZARD

Tetesi

Real Madrid wamewasiliana na mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard kuangalia uwezekano wa kumleta Mbelgiji huyo Hispania kwa mujibu wa Diario Gol .
Mchezaji huyo anasita kusaini mkataba mpya Stamford Bridge na ameeleza jinsi anavyoihusudu Real Madrid.
 
Sankoro!!! Sankoro !!!! Sankoro!!!!!!?
Ka Neymoney vile
 
Attachments

  • tapatalk_1512999833962.jpeg
    tapatalk_1512999833962.jpeg
    64 KB · Views: 28
Tetesi

Gareth Bale amakubalia na na Real Madrid kuondoka klabu hiyo msimu ujao, huku Manchester United na Tottenham wakimwinda mshambuliaji huyo wa miaka 28 (Diario Gol)
 
Tetesi
REAL YAANZA MAZUNGUMZO NA HAZARD

Real Madrid wamewasiliana na mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard kuangalia uwezekano wa kumleta Mbelgiji huyo Hispania kwa mujibu wa Diario Gol .
Mchezaji huyo anasita kusaini mkataba mpya Stamford Bridge na ameeleza jinsi anavyoihusudu Real Madrid.
We Dada kila Thread upokhaaaaa
 
Mkuu PSG Maji marefuu......naimani na zidane tactics though

PSG wanacheza football, hapo ndio utawapenda Real Madrid. Tushindane kiwango, sio wale wanaoweka watu 6 kwenye box. Ukitaka kuwachanganya Los Blancos paki bus, ndio utaona frustration za wakina Marcelo, huwa wanapoteza game kabisa. Lakini ukipiga mpira, Modric anajua kutuliza tempo ya wapinzani. Mi nawaona PSG out hapa.
 
Back
Top Bottom