Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Screenshot_2017-11-19-06-35-17-1.png
 
Cr7 vp nae aliposhika hukuona?
Mi kwa nilivyoona na kumsikia commentator naona hazikuwa penati. Cr7 mpira ulimpiga mkono kwa nyuma akiwa amegeuka. Haingeweza kuwa penati. Buti la pua kwa Ramos ule mpira ulikuwa hata kwa mguu umachezeka siyo kwamba jamaa alicheza mpira wa kichwa kwa miguu. Ule mkono wa Savic ni clear ball to hand. Mkono wake hakutikisa hata kidogo. Hozo tatu naona refa alikuwa sahihi kabisa kutotoa penati.
 
Atletico wamedefend vizuri sana, lakini nimefurahi kuona timu imeimprove ukifananisha na game zilizopita. Mnaosema we're out la liga race mkumbuke bado tuna mechi nyingi sana.
 
That is why VAR should be implemented sooner than later, Italy wameanza na leo game ya ROMA vs Lazio imeamuliwa kwa VAR. Leo Juanfran kashika zaidi ya kipa ila hakuna iliyoitwa!

VAR pia bado zinakuwa monitored na watu, meaning zinafanya makosa pia. MLS kuna game Kaka alipewa red kipuuzi tu kupitia hizo VAR, Serie A pia zishazingua watu. Club kama Madrid si ya kuumizwa na maamuzi ya marefa, mpira wetu ndio unatakiwa kuamua kama ilivyokuwa kwa games dhidi ya Bayern.

Kifupi hatuko kwenye kiwango chetu, na pressure ya ligi haisadii. Ni situation ya kupita tu.
 
Beki wa Real Madrid Marcelo amesema kuwa hajui lolote kuhusu habari ya tofauti baina ya nahodha Sergio Ramosi na nyota mshambuliaji Cristiano Ronaldo.
Gumzo la uhasama ulioibuka baina ya wawili hao kufuatia tofauti zilizoripotiwa kuwa ni tofauti ya maoni katika kikosi cha mabingwa hao wa Hispania na Ulay
 
Ramos hakubaliani na kile anachoamini Ronaldo kuwa Madrid ina kikosi dhaifu msimu huu kufuatia kuondoka kwa Alvaro Morata, James Rodriguez na Pepe.
Marcelo aliulizwa kuhusu ugomvi huo na tetesi zinazodai kuwa mshindi wa mara nne wa tuzo ya Ballon d'Or Ronaldo ataondoka Madrid, na beki huyo wa kushoto wa Kibrazili amewaambia waandishi: "Sijui lolote kama Cristiano hana furaha ua la!
 
Hata sifahamu kama kumekuwa na lolote baina yake na Ramos.
"Mimi nataka kucheza soka tu, sijui kama kumekuwa na ugomvi wowote
 
Back
Top Bottom