Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #33,321
Asensio from the spot
Hivi vipi taarifa ya kovacic walidai wiki 6 still naona kimya.
Yaan tunamuutaji sana, maana ana kazi maalum za kufanyaMinimum recovery time ilikadiriwa kuwa wiki 8. Atarudi soon, kama hakuna setbacks. Tunamuhitaji sana jamaa.
Yaan tunamuutaji sana, maana ana kazi maalum za kufanya
Maana yule ndio kiraka sehemu ya katikati km nacho nyumaKova angekuwepo Jana, game ingekuwa tofauti sana.
Maana yule ndio kiraka sehemu ya katikati km nacho nyuma
Ata ivyo bado siku chacheYaani angesimama pale alipocheza Vazquez, ye ndio angekuwa Isco wa ile game.