Ronaldo anapania sana zingine ilipaswa kupiga kwa kuchungulia.
Nafikiri anachanganyikiwa na gap la mpinzani wake. Kumbe angetulia na kujipima yeye tu angekuwa anafunga kila mechi.Ndio maana Offside zote yeye.
Jamaa kaondoka huku anaipenda sana clubDanilo: "I miss Real Madrid, they treated me really well".
"Dani (Carvajal) is doing well. He’s undergone tests and they’re
positive.
Nimepokea hii taarifa kwa mikono miwili, habari njema sana hii kwa Madridistas, nitafurahi sana kuona kijana wetu anakipiga tena, [HASHTAG]#AnimoDani[/HASHTAG], [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!!
Leo watoto wanashinda mkono i guess hattrick ipoSquad List for today's match, led by captain Nacho.
Leo watoto wanashinda mkono i guess hattrick ipo
Yaah itakuwa nzuri zaid mabeki 5 in defence 3 in attackingWe'll see. Mi nasubiri kuona formation ya 3 at the back, Theo na Achraf wasogee mbele.
Nimeona Marca wametabiri kuwa formation itakua 4:3:3, Theo akicheza kama winga wa kushoto, ila ngoja tusubiri tuone Zizou atakuja na mfumo upiWe'll see. Mi nasubiri kuona formation ya 3 at the back, Theo na Achraf wasogee mbele.