Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,089
- 5,159
Kweli kabisa Mkuu, ninakumbuka wakati tunachukua La Undecima, maneno yalikuwa mengi sana, wengi walidai kuwa tulipendelewa, kuonyesha kuwa tulistahili this time around tukakutana na hao wakali wao, tukawavuruga kuliko wale wabovu.,PSG hawana moto huo, we're still the team to beat. Na ili kuwa mabingwa lazima tujiamini kucheza na yoyote muda wowote. Hata Man United na Barca walikuwa kwenye kiwango kizuri zaidi yetu wakati tunakutana nao mwanzo wa msimu, lakini uliona kilitokea nini.
So sioni shida kukutana na yeyote kwasasa, kwanza tukikutana nao hawachelewi kuwaita Vibonde.