Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,089
- 5,161
Ndio kwanza vijana wanacheza pamoja tangia final ya UCL, ukitegemea kuwa wametoka kwnye mapumzimko sio mbaya, game inayofuata ndio nitaichukulia kwa umakini kidogo, so sio mbaya sana kwa game ya kwanza tena ya kirafikiJana tumecheza hovyo nadhani bado si mbaya mourinyo akija na mentality ya jana kwenye super cup ita mgharimu .HALA MADRID
Sent using Jamii Forums mobile app