Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

As's Cover | "Allegri: Isco is much more technical than Bale."

DBD515xW0AA2qI7.jpg

Naona jamaa watakuwa wamecheck mechi zetu na kuevaluate wachezaji wetu maana hiyo ishu ya Isco hadi chiellini alishasema anamuhofia zaidi Isco na nimeona mitandaoni hadi italian media zikimdiscuss Isco,ila yupo sahihi maana Isco has got some Technics...bale ana speed sana(hili linafahamika kutokana na timu aliyotokea Spurs wana mchezo wa speed) lakini amekosa some technics...but in many occasions speed yake imetusaidia sana.
 
Those who are on bandwagon of "Buffon deserves ballon d'or" must know that Casillas never won Ballon d'Or, having won pretty much everything with club & country yet he never got the ballon d'or for his efforts.

Mkuu nimeona hiyo kitu mitandaoni...yani hao ni mashabiki Wa Barca...na wanasema hayo baada ya kuona Ronaldo ameshafanya some wonders na imebaki tu champion league tittle itakayompa nafasi kubwa ya kunyakua tuzo hiyo hasa akiwa pia mfungaji bora Wa michuano hiyo,Hao jamaa wanashangaza walianza kwenye LaLiga wakisema Forca Sevilla...tulivyowapiga Sevilla wakaamia Forca Celta...tulivyowapiga Celta...Wakaamia Forca Malaga...tulivyowapiga Malaga na kuchukua league tittle...wameamia Forca Juve kwenye UEFA-Final nasasa Forca Buffon Kwenye Ballon D'or ili tu Cristiano asiipate hiyo tuzo...hatari sana hao watu!
 
Mwaka 2013 Emanuel Nueur alishinda UEFA, Bundesliga na Cup
Triple ila ballon D'or
Alishinda Ronaldo
Messi wa pili
Neuer wa tatu
 
Mkuu nimeona hiyo kitu mitandaoni...yani hao ni mashabiki Wa Barca...na wanasema hayo baada ya kuona Ronaldo ameshafanya some wonders na imebaki tu champion league tittle itakayompa nafasi kubwa ya kunyakua tuzo hiyo hasa akiwa pia mfungaji bora Wa michuano hiyo,Hao jamaa wanashangaza walianza kwenye LaLiga wakisema Forca Sevilla...tulivyowapiga Sevilla wakaamia Forca Celta...tulivyowapiga Celta...Wakaamia Forca Malaga...tulivyowapiga Malaga na kuchukua league tittle...wameamia Forca Juve kwenye UEFA-Final nasasa Forca Buffon Kwenye Ballon D'or ili tu Cristiano asiipate hiyo tuzo...hatari sana hao watu!
Mkuu inamaana hijaona kazi kubwa aliyoifanya Buffon msimu huu?. Ronaldo akishindwa kuscore kwenye fainali itakuwa ni wendawazimu kumpa Ballon D'or. hana rekodi zozote binafsi za kumbeba.
 
As's Cover | "Allegri: Isco is much more technical than Bale."

DBD515xW0AA2qI7.jpg

Could be true, or they could be playing some game on us. With Bale's speed on the flanks, you're guaranteed maximum pin on Alves and Alex Sandro in their own half, hence crippling Juve's offensive plans.

I personally would love Isco to start, but I won't trip if Bale does if he's fully fit.
 
Cristiano:

"I feel good, in good form. Now I'm better physically than in other seasons. It has been smart management by Zidane and also thanks to my teammates."

"The team is in good form and we have to take advantage of it. We have the historic opportunity to do the double and on Saturday night we hope to win the Champions League".

"We must go in to the match with humility but showing attitude and character, showing that we are better. Juventus are a great team but I think we are better."

"I have the feeling that we are going to have a great game and win. I hope the fans are with us on Saturday. We are thinking positively and Hala Madrid! ".

18740288_1612389528785801_550448927335850426_n.jpg

Isco:

" We're coming in to it in good shape and with good feelings. The team looks in good shape to me. It's been a really nice season and we want it to be even more so with the Cardiff final. We’re going to give everything."

"We can get a double, retain the title and go down in Champions League history. It's a big motivation and there's only one step left".

"Juventus are a very solid team. Defensively the best in the world but we have a lot of firepower up top and they have to be worried about us. We’ll fight to the death for la Duodécima"

18766517_1612390255452395_6852957943882231919_o.jpg
 
Benzema:

"The group is perfect and in good spirits after winning the league. We’re going to work now towards Saturday and we have good feelings. On Saturday we’ll go out and win for the madridistas, who are very important.

Zidane is doing very well. All players feel important. Anyone can stand in for any teammate perfectly. That's thanks to him, because he talks to all the players and gives them all minutes".

18700284_1612391465452274_9113626300253118331_n.jpg
 
Kroos:

"It's amazing to win the league, but the Champions League is always special to me. I hope we win two in a row, but we don’t need that motivation."

"We’re ready for the final and we have no injuries. There is no magic recipe to win this title, you need a great team and to give the maximum in important matches."

:It’ll be a difficult match, as Juventus have shown they are very strong and very good in defence"

18765845_1612471245444296_5437422362552046388_n.jpg
 
Casemiro:

"We don’t have to do anything different for the final. It’s been a very good year and if we win the Champions League it will be perfect."

"We have to continue like this and we have everything in our hands to make history. The squad is very close, working hard, and we’re all focussed. We are a family"

18813615_1612471972110890_791530701079463956_n.jpg
 
Isco or Bale for the UCL Final?

Vazquez: "Good thing its Zidane who decides because I don't know what I would do!" (laughs)

18814039_1612526862105401_7463374130006470250_n.jpg
 
Ramos: "Ballon d'Or for me? It's difficult, but if I had wanted individual titles I would have dedicated myself to tennis." (laughs)

18835628_1612527562105331_1195040700911227195_n.jpg
 
Asensio: "I try to always give my max on the pitch to get titles & dedicate them to my mother & my family."

18765906_1612527955438625_3276715556992178477_n.jpg
 
Marcelo: "To the fans I say continue supporting us because as always we'll leave our skins out there to win a title."

"So many want to play in games like the UCL final. We must enjoy this. We are prepared. Our entire squad has helped us reach here."

18739933_1612528972105190_6969316979833289265_n.jpg
 
Could be true, or they could be playing some game on us. With Bale's speed on the flanks, you're guaranteed maximum pin on Alves and Alex Sandro in their own half, hence crippling Juve's offensive plans.

I personally would love Isco to start, but I won't trip if Bale does if he's fully fit.

Bale returned from injury and was immediately started in El Clasico, what was the result? We lost. And I don't think Zidane is about to make that same mistake again, may be Bale will get few minutes later, this is the serious game of the season.
 
Mkuu inamaana hijaona kazi kubwa aliyoifanya Buffon msimu huu?. Ronaldo akishindwa kuscore kwenye fainali itakuwa ni wendawazimu kumpa Ballon D'or. hana rekodi zozote binafsi za kumbeba.

Afterall naona wazi nyie Barca fans mpo for something kwenye iyo ishu ya buffon...maana ipo clear kama alivyogusia mdau Salamander hapo juu MBONA CASILLAS AMEIFANYIA MAKUBWA MADRID NA TIMU YAKE YA TAIFA NA KACHUKUA TROPHIES NYINGI TU...NA KUNA MSIMU ALIWAHI KUCHAGULIWA KIPA BORA LAKINI ATA HAKUFIKIRIWA KUPEWA HIYO Ballon D'or sasa iwaje iwe kwa buffon?...KAMA UNAFAHAMU HISTORIA YA HII TUZO MAKIPA NA MIDFIELDER HUWA NA WAKATI MGUMU SANA NA MARA NYINGI HUISHIA KUWA NOMINATED BUT NOT FURTHERMORE...HIVYO BUFFON ANAWEZA INGIA ILE TOP-3 LAKINI KUSHINDA NI NGUMU NA KUNA WALE WACHAMBUZI WA SOKA WA ESPN-Sports WALISEMA LABDA KAMA ATAISAIDIA JUVE KUPATA ILO TAJI LA UEFA MSIMU HUU ITAMUONGEZEA CREDITS DHIDI YA CR7 NA LEO10...LAKINI VENGINEVYO NI NGUMU SANA, Sawa nafahamu jamaa kaifanya kazi yake vyema maana katika mechi zote za Uefa walizocheza msimu huu Hadi Sasa Ndiye kipa pekee aliyeruhusu magoli machache sana(3 goals) Ila hili linafahamika vyema kuwa defence ya juve pia inamsaidia Sanaa jamaa japokuwa sikatai buffoni ananyaka mipira ipasavyo...kuhusu swala la CR7 kutupia goli kwenye FINAL AGAINST JUVE NI JAMBO GUMU KUTOKANA NA UKUTA WA JUVE LAKINI NAAMINI ATAFANIKIWA MAANA RONALDO ANA HISTORIA NZURI YA KUWAFUNGA MAKIPA BORA WENGI KULE ULAYA AKIWEPO HUYO BUFFON MWENYEWE TENA SIO MARA MOJA, Na LABDA NIKUTOE HOFU KUWA...JUVE WANAFUNGIKA ISIPOKUWA INABIDI KOCHA AWE ANA MBINU ZA ZIADA KWA MFANO: NILIONA NAMNA JUVE WALIVYOISUMBUA BARCA KWENYE QUARTER-FINAL KWA KUWA MLIKUWA MNATUMIA SANA CROSS ZA PEMBENI NYIE HALAFU ZILIKUWA ZA CHINI SASA...NA LUCHO ALIKOSA MBINU ZA ZIADA KABISA...SASA KAJARIBU KUANGALIA KWENYE MECHI NYINGI JUVE ALIZORUHUSU MAGOLI UTAGUNDUA NJIA PEKEE YA KUMFUNGA JUVE NI PENETRATION(Mipira ya kupenyeza pale kati)...PIA KWENYE CROSS ZA JUU 10 LAZIMA UTAWAFUNGA GOLI ATA MOJA LA HEADER KAMA UNA STRIKER ANAYERUKA KAMA RONALDO...ILA KWA CROSS ZA CHINI NA PEMBENI HUWAFUNGI WALE WATU NA ZIDANE NAJUA ATALIGUNDUA HILI NA NAONA ATATUMIA MFUMO: AMBAO EITHER ISCO AU KROOS ATAKAA NYUMA YA RONALDO NA BENZEMA HIVYO ATAKUWA ANATOA PASS ZA MWISHO...KAMA ULE MFUMO ALIOTUMIA SECOND LEG DHIDI YA ATLETICO ULIKUWA "4-1-2-1-2" AU AKIBADILIKA ANAWEZA AKATUMIA HII "4-3-1-2"...MFUMO HUO UNA RUHUSU NAMBA KUMI(Isco) KUTOA PENETRATIONS KWA FORWARDS WAWILI(Cr7 na Benzema) WA MBELE MAANA ANACHEZA NYUMA YAO NA JUVE WANAWEZA TUMIA "4-2-3-1" KAMA KWENYE MECHI YAO DHIDI YA BARCA NA ILIWASAIDIA...HUYO MMOJA APO MBELE NI HIGUAIN TU...JUVE HAWAWEZI KUTUMIA "4-3-3" KAMA ANACHEZA MECHI ZA LIGI MAANA REAL NI TIMU YENYE ATTACKING PHILOSOPHY SIO DEFENSIVE HIVYO JUVE WAKITUMIA HIYO "4-3-3" ITAMRUHUSU ADUI(REAL) KUSHAMBULIA KAMA WAO WATAKAVYOKUWA WANASHAMBULIA NA HII ITAKUWA HATARI KWA JUVE KWAKUWA REAL ANA ATTAKING LINE NZURI KULIKO JUVE...Unaikumbuka hii?

cristiano-ronaldo-real-madrid-juventus_1ao0p9jegruzw10xybf1qfj7mh.jpg
 
Back
Top Bottom