Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,089
- 5,160
Tatizo la James ni kuwa hafit kwenye mfumo wa Zidane, James anakuwa mzuri zaidi akicheza nyuma ya mshambuliaji, sasa kwa mfumo wa Zidane wa 4-3-3 anakosa hiyo role as Zidane anapendelea zaidi kupitia kwenye wing, ndio maana unaona Lucas Vasquez anapata sana nafasi ya kucheza zaidi ya James, tungekuwa tunatumia 4-4-2 James angetufaa sana, pia James anatamani kupata dk nyingi zaidi za kucheza(Kumbuka ni Captain wa team ya Taifa) na kuwa mtu muhimu ndani ya kikosi kitu ambacho pale Madrid ni shida kidogo., So ninataelewa akiondoka japokuwa tunauza silaha nzito sana kwa adui!!James tatizo nini