Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Messi yuko individual sana, tulitakiwa kukaba tuanzie mbele game yetu hii, lakini Cristiano ana preassure ya Bao, Bale pancha Benzema wenyewe sijui inakuwaje mpaka anakuwa kwenye first eleven kila siku, lazima watu kama Casemiro wapewe card.
Nataman zidane akose makombe yote msimu huu...
Unaleta ukabila kwenye maslahi ya timu. Morata anabaki nje libenzima linarukaruka tu uwanjani kiss ni lifaransa lenzake. Ukabila unagharimu timu ,hata mm wa kolomije siwez Fanya huu UJINGA.
 
Aisee hii kitu sio mchezo eti, uliza ni mashabiki wangapi wa Arsenal wameishajiondoa na vitanzi vingoni.
We are too emotional. Sometimes too emotional with things even doesnt resemble with our lives.
Kupanga ni kuchagua.
bos mimi mpaka sasa napata maumivi nadhan kama niko kwenye electric chair, ot hurts yaan huwez kuamini, nime zima taa nilale usingizi hauji
inaumaa bas tu!
 
Hii timu inaruhusu magoli sana, na ndio sababu tukakosa la liga last season, na leo hii inatufanya tuwe kwenye hali ngumu. Next season waangalie hili swala, hatuwezi kuwa confortable kama defence ina shake vile
 
Yeah next timeee... Tuwasubiri atletico tuuu
Kwa upumbafuu huu aliofanya tangu uefa na Bayern, atletico wanatuondoa mapema sana. Asipojua kutenganisha maslahi ya timu na utaifa vitamgharimu sana ktk career yake ya ukocha.
 
IMG_20170424_012226.jpg
All bow to your King-MESSI
 
Nataman zidane akose makombe yote msimu huu...
Unaleta ukabila kwenye maslahi ya timu. Morata anabaki nje libenzima linarukaruka tu uwanjani kiss ni lifaransa lenzake. Ukabila unagharimu timu ,hata mm wa kolomije siwez Fanya huu UJINGA.
Kwwli kijana zidane nimemchukia sana hata akichukua vikombe vya liga na uefa nitamchukia sana anaudhi mpaka unakosa usingizi. Yaan nimeumia mno. Benzema sana nini ? Asensio na morata no wazuri sana. Hasa ukiangalia ile goli la asensio dhid ya Bayern Munich. Fan wa Madrid wampinge benzema aondoke
 
bro umewahi shabikia timu ikafungwa!!? hasa unayo ipenda!!?
unaweza kukuta wote hamja experience kila mtu anacho feel inaumaaaaa kufungwaaaaa
Nilijua wachangiaji wataongezeka baada ya mechi ndo maana nilizima data kabisa nikaenda kulala! kila umivu lina maumivu yake
 
Mkuu I do feel the pinch, ila kuna vitu vya kulinganisha. Hivi mfano tuseme wewe ni mtoto na upo na Baba yako mnaangalia hii game alafu wewe labda ukawa unashabikia Barca mzee anashangilia Madrid, then baada ya kufungwa Mshua akachana mistari kana ya jamaa hapo juu tena kwa kumaanisha kweli kwamba ni bora angedanja mama yako, machumgu kwake yangekuwa kidogo kuliko ilivyofungwa Madrid.

Swali: Wewe kama mtoto au pengine ukute na mama yako yupo hapo, mngejisikiaje au mngefanya nini?
Well! kumbe ulipitiliza kimawazo! btw hizi ni lugha mpirani mkuu huwa tunaumia muda huo, the good thing is..... Alirudisha furaha nilipoenda kitandani
 
Back
Top Bottom