mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
Wanamzidi uwezo Navas, sahihi usemacho? Tuwekee rekodi zao hapa kwanza.Habari za Madrid kutaka wa kumbadili Navas zimekuwepo toka muda. De Gea na Courtois wanamzidi Navas uwezo, wana umri mdogo, na wana influence kubwa kuliko Navas.
Kwa hiyo hata ikitokea tukashinda vikombe vyote, Madrid bado watajaribu kuwapata hao wawili au kipa wa Milan.